kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  2. farfat

    JamiiForums Tanzania Kulala peke yako ni bora kuliko kulala na mtu anaelala na mtu mwingine

    Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi... Endeleeni kupendana
  3. Wimbo

    JamiiForums Tanzania AKIAMUA KUISHIA HAPA ATAJIJENGEA HESHIMA KULIKO ANAVYOTAMANI KUENDELEA.

    Hakuna anayeweza kutoa ushauri huu kwa sababu ambao wangemshauri wanafaidika na mfumo, wamejizima data wala hawaoni Mambo yanaenda ndivyo siyo, hawaoni majirani zetu wanavyopata taabu kurudisha treni kwenye reli, yakiacha yafike kwa Nchi yetu kuuzima moto itatughalimu jasho na damu. Hivi nini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

    MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI, UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI. == Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo na nishati hafifu ya mkaa...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

    Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania. Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu...
  6. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Picha inazungumza zaidi kuliko maneno; Tizama picha na sema umeelewa nini ?

    Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala. Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Honda wanakuja na Honda 0 Series SUV: Baya kuliko Cybertruck ya Tesla!

    Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa huenda ana umri mkubwa kuliko mzee Majaliwa

    Kwa muonekano wake tu huyu jamaa umri wake umeenda namba. Huenda ana umri mkubwa kuliko Majaliwa na Mpango. Jinonee wewe utoe tathimini yako.
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

    Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na kutenda mapema kwa njia ya sadaka kuliko maombi makavu

    KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu hakuwaacha. Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama wabunge wameanza kuorodhesha mambo waliofanya kwenye uongozi wao, sasa Rais Samia kafanya nini? Kwahiyo mama amejaa madeni?

    Ni swali tu mje kwa step msije mkajikwaa mkavunja miguu🤣🤣🤣 Ilikuwa kila unakopita mama kafanya hiki, mama kaleta hela zile, mama kanunua hiki, mama kasaidia wale, mama kajenga nini, mama hadaiwi.. mamaaa.... mamaa.... mamaaaa! Kinachoshangaza sasa hivi kila anayetetea nafasi yake anaorodhesha...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watia nia ni wengi kuliko wapiga kura

    Wana JF Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote Kuna maisha baada ya uchaguzi
  15. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP, Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao! WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran. Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana. Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni...
  20. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
Back
Top Bottom