Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo:
Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye...
Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu
Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma.
CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
Uchambuzi
Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla.
lakini iran ni...
Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu.
Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za kufeli kwao ilikuwa ni umbali wao na Mungu wao.
Mfano
Waliteswa na Wafilisti
Walikuwa watumwa wa Wairaq...
Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta.
Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika kutoa ili tusiwakwaze ndugu na marafiki kwa kuwa jambo hili hakuna viongozi wa dini hususan...
Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki.
RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe
Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule...
Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja
Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji.
Kwa mtazamo wangu ninaona Feisal Salum na Kibu Denis ni wachezaji wakubwa zaidi ya Selemani Mwalimu.
Hivi...
Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba.
Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu.
Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu.
Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi.
Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo.
Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam!
Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho Langu Humu Jamiiforums Licha Ya Kuwa Member Kwa KipindI Kirefu Kidogo
Nilipoteza Ajira Yangu November...
Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri.
Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
"Things fall apart" ni moja ya kazi nzuri sana ya fasihi yenye mafunzo kedekede iliyofanywa na Hayati Chinua Achebe. Kwa wahenga wenzangu mtaikumbuka riwaya hii kama mojawapo ya riwaya za kiada kwenye English Literature kwaajiri ya mitihani ya kidato cha nne.
Kwafaida ya wasioifahamu riwaya hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.