Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari.
Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha.
Na kwa hawa jamaa...
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni...
Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze.
Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini...
https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg
Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona .
Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024...
Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti
GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports.
Na GDP ya China huwa haihesabu...
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.
Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa.
Wakirudi majumbani...
Stori hii ya mtoto wa Seremala ambaye miaka 2000+ baadae stori yake imeungwa mkono na kuenziwa na wafuasi zaidi ya watu bilioni 2.6.
Stori hii iliotengeneza utamaduni na jadi mpya duniani na ikabadirisha ulimwengu for good, utamaduni wa utulivu na amani, kutokuwa na kinyongo na kusamehe, utu na...
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc
Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
Katika jamii yoyote yenye maadili mema, jukumu la kuwahudumia na kuwatunza watu wa nyumbani ni la msingi sana. Biblia katika 1 Timotheo 5:8 inasema: “Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.”
Mbele za...
Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama vyote ili vyama hivyo vipate sifa ya kuja kushiriki uchaguzi miezi sita ijayo!
Tangu lini kusaini...
Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu...
Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...
Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?.
Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo.
Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.