kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pharao

    Kwanini 'Wajinga' wanatoboa kimaisha haraka kuliko sisi 'Great Thinkers

    Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani: Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
  2. Vien

    Laiti kama binadamu hasa wanawake wangeweka reasoning mbele kuliko emotions, je dunia ingekua sehemu salama zaidi?

    Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  4. VERBOSE

    Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

    Picha inajieleza.
  5. C

    Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  6. M

    Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  7. ChoiceVariable

    Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  8. Vien

    Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  9. Mad Max

    Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  10. M

    Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  11. Godoro la kioo

    Ikifika Hatua kama hii ujue Tatizo ni kubwa kuliko kawaida

  12. Nomadiq

    Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

    Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri. Nyimbo zilikuwa ndefu, unakuta...
  13. M

    Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  14. Sifi Leo

    Rais Samia angejua anamtuma Nchimbi kwenda kuongea na yakwake ambayo ni mazito kuliko yake hasingemtuma

    " Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU" Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi Kusema ukweli Nchimbi...
  15. Marashaaa95

    Master Jay akubali P Funk majani ni bora kuliko yeye

    Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
  16. figganigga

    Wakongo wanambananga na Kumbagaza Samia Suluhu. Eti anapenda pesa kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini?

    Wakongo wanamsema vibaya Samia Suluhu Hassan Wanadai anapenda hela sana kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini? Wanadai anaweza kuuza hata damu ya watoto wake.. Je, ni kweli Samia Suluhu Hassan ana roho mbaya kiasi hivi? Nahisi wakongo wanatumiwa na Mabeberu
  17. JanguKamaJangu

    Gary Neville aiambia Man United iajiri kocha mpya mwenye uzoefu kuliko Michael Carrick

    Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead. Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
  18. Tundusami

    Mwanaume alieoa anapata tendo la ndoa kwa shida kuliko ambaye hajaoa

    Wengi wanaamini wanapoteza ela kununua wanaamini wakioa watapata tendo la ndoa kwa urahisi bila longolongo ila kumbe walijidanganya/walidanganywa. Ukioa unapewa kwa kipimo mda mwingine inapita wiki mpaka mwezi bila kugusa iyo mbususu Na wakipewa wanapewa kishingo upande bila ushirikiano wowote...
  19. Tundusami

    Tuseme ukweli kuwa mwanamke ni shida sana kuliko kuwa mwanamke yeye na hospitali ni pete na chanda.

    wanawake wanapitia magumu sana haswa wakianza kuvunja ungo. Hapo ndo shida rasmi zinaanza ule usumbufu wa kuingia period kila mwezi na wengine period zao zinaingia na maumivu pamoja na kutokwa na damu nyingi inapelekea kupata shida ya damu mfumo wa homoni usipokaa sawa kidogo tu matatizo...
Back
Top Bottom