kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

    Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
  2. Zee la madawa

    Nimeacha kula kwasasa ili niweze kuexport save pesa

    Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi...
  3. S

    Ewe mwanaume, ukiona wakati wa uchumba unaombwa vocha, nauli ya daladala, hela ya LUKU na hela ya kula, kimbia

    Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa. Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
  4. GENTAMYCINE

    Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  5. GENTAMYCINE

    Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda mnawezaje kula Mdudu (Kitimoto) cha hapa kisicho la ladha kama ya kwetu Tanzania?

    Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba...
  6. BLACK MOVEMENT

    Dr Chris cyrilo, Africa amani wanufaikaji zaidi ni Watawala ili waendelee kuiba na kula, huku masikini wakiwa hoi.

    Nakubalina kabisa na mdau huyo kuhusu amani. Nyimbo za tuidumisje amani, tuitunze amani wanufaikaji ni watawala ili waendele kula kwa amami na raha mstarehe. Raia wanacho fanya huuziwa uoga wa vita ili wawe watulivu hata wasiulize yale ya msingi kwa faida yao. Wakati watawala wanahubiri amani...
  7. Mr George Francis

    Kula sana bata hata kuku wote lakini kamwe usiwasahau ndugu zako

    KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO. "Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia. Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako. Siku ukiumwa au kupata matatizo...
  8. matunduizi

    Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

    Hii ya kula mara tatu kwa siku naona kama imetapakaa dunia nzima. Nini chanzo au kunasupportive doc yoyote ya kitaalam. Watu walitakiwa kula wanapohisi njaa na hisia hizo zitakapofikia hatua ya kuona kama nguvu zinawapungua. Kwenye vitabu vya dini hatuoni mungozo wa mtu ale mara ngapi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kula kwa jasho ni kuhangaika kutafuta riziki sio lazima utoe jasho la mwili au ufanye kazi za nguvu ya mwili

    KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
  10. LIKUD

    Nimepata mashaka makubwa sana dhidi ya ueledi wa Admin alie unganisha Uzi wangu na Uzi wa Kula PAPUCHI kimasihara.

    Uzi wangu ulikuwa na title " KWA MWENYE UZEOFU NA UWEZO WA KITANDANI WA WANAWAKE WA KIMATUMBI KUTOKA KILWA" Ndani ya Uzi nimesema kuwa nimepata demu single mother wa kimatumbi, weekend hii nimepanga kwenda Somanga KUKUTANA nae. Nikauliza kama kuna mtu aliwahi kutoka na mmatumbi anijuze kuhusu...
  11. Blue Bahari

    Kwa nini huwezi kula ugali bila Mboga?

    Wanajukwaa habari zenu! Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali? Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani? Kuna makundi makuu ya virutubisho ya vyakula: (1)wanga (2) protein (3) madini Chumvi (4) fibers/roughage (5) vitamins...
  12. Killing machine

    Kila enzi Ina mwisho

    Alikuwepo mungu na maraika wake watiifu akatukuzwa akasifiwa aka abudiwa lakini akaja aka asiwa Tena na maraika mtiifu wa kuaminika kwake Walikuwepo wababe wa dunia Wala rushwa majambazi wababe wenye misuri Kama ya ng'ombe watu makatiri wenye uwezo wa kifedha na mamlaka leo hawapo Tena...
  13. ndege JOHN

    Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

    Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe...
  14. TEAM 666

    Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
  15. oko majimaji

    Weekend hii ilenda vizuri kwa kutazama movie

    Weekend hii iliyopita ilienda vizuri sana sikutegemea mana sikua na mtoko wowote ule, basi nikasema hii weekend ni ya kuchill home nakaona haitakua vyema bila ya kusindikiza na movies, aisee nilpata bahati ya kupata movies kali kinoma hutamani hata ikupite. Hivyo basi napenda kushare movie...
  16. G

    Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni chache zenye odds za 1.01 yani ukiweka laki ushinde buku lakini ukija kwenye website zao wanadanganya...
  17. U

    Taarifa wakazi wa Iringa waanza kula panya kama kitoweo!

    Wadau hamjamboni nyote Gazeti la mwwnanchi linaripoti kuwa Ndugu zetu huko Iringa Sasa wameamua kula panya kama kitoweo wakidai kina protein Kwa wingi sana Taarifa kamili hapo chini #Repost @mwananchi_official —— Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji...
  18. G

    Kula kula ukiendekeza inakua kama bangi, hii kitu vimenipa uraibu mbaya mno, nina collection ya makopo yake ndani

    Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine. Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha...
  19. U

    Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  20. ndege JOHN

    Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

    Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni. 1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo. 2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani. 3.samaki...
Back
Top Bottom