kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nimeacha pilau ndani nikijua naenda kukutana na Berger/pizza

    Cha ku suprise nimeenda kukutana na ugali ndondo
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kukutana na Tume ya Uchunguzi wa yaliyotokea Oktoba 29 2025?

    A. Hapana..! Kwanini B. Ndio.. Kwanini
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoto yule akikutana na huyu watatoana damu nakwambia! Baada ya kwenda mjini kukutana na Mjomba akatusaliti!

    Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  8. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Hujawahi kukutana na hii screen halafu unataka kuniscam, unaanzia wapi kwamfano?

    Busara zinaendana na enzi... Nyani mzee amekwepa mishale mingi Tujuane wazee waptrick.com, site gani ingine ulikuwa inaitembelea kupitia opera mini?
  9. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na huu Ujumbe..?

    Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..? Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana 😂
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Zelensky asema yupo teari kukutana na Putin Moscow ikiwa atapatiwa hakikisho la usalama.

    Mliosema hawezi kwenda mwamba huyu hapa😀😀😀
  11. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?? Funguka
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Trump na Putin kukutana wiki ijayo

    Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika kumaliza mgogoro unaendelea kati ya Urusi na Ukraine, licha ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi za...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Cambodia na Thailand kukutana Malaysia kwa maongezi ya kusitisha vita

    Waziri Mkuu wa Cambodia amesema kuwa lengo kuu la mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika leo July 28, 2025 na Thailand ni kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano mara moja kufuatia mzozo mkali wa mpaka uliogharimu maisha ya watu. Hata hivyo, Waziri Mkuu wa Thailand ameonyesha mashaka kuhusu...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

    Wakuu wasalaam. Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo. Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae! Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni wanawake au wanaume wa kabila gani ambao umewahi kukutana nao kimwili kwa wingi?

    Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu. Nitaanza mimi. Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo Wakinga 15 Wapare 12 Wanyakyusa 10 Wachaga 09 Wahaya 06 Wasukuma 05 Wahehe 04 Wabena 04 Wanyamwezi 02 Wameru 01 Wagogo 01 Wangoni 01 Mkenya 01 Mzungu 01 Mwarabu 01 Mzambia 01
  19. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kutafuta maana, kukutana na giza

    Uhai ni safari ya nafsi inayojitahidi kugundua maana ya kuwepo. Hatua za kutatanisha, ambapo mtu anajikuta akitafuta majibu, macho yake yakitafuta mwangaza katika kivuli cha kutokujua. Ni dunia yenye hisia nyingi, lakini ikiwa na mwelekeo wa kutokuonekana wazi. Hapa, kila hatua ni swali, kila...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Mataifa 4 kukutana punde kikao cha faragha

Back
Top Bottom