kukubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

    Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky mpaka mameya wa miji mbali mbali ni kwamba vita baina yao na Urusi vimeshawarudisha nyuma sana.Kwanza...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  6. Zombi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

    Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa. Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya. Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha.
  7. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukubali kupokea ruzuku na kupeleka wabunge wengine wa viti maalum?

    Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti maalumu bungeni. Pia CHADEMA ipo tayari kupokea ruzuku, ikumbukwe kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  9. love life live life

    JamiiForums Tanzania Katika nchi ya kibepari kukaa kimya maana yake ni kukubali

    Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ. Ajabu ni kwamba kodi zile zimeendelea kuwepo hata baada ya vita kuisha mpaka leo miaka mia imepita toka...
  10. Hovering

    JamiiForums Tanzania Hutakiwi kukubali ValentineDay inakukuta single. Trick hii hapa

    Nimechukua stanza yangu moja tu no.2.... naona mkeka unaelekea kutiki hapaa. Shairi ni moja beti sita na kila moja na hadhi ya pisi unayotaka. Sasa kazi kwako.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

    Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili. Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
  14. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Si kila teuzi ni za kukubali, nyingine ni za 'kimkakati' ili kukumaliza kisiasa au kwa kuwa tishio kwa mwenye tamaa ya Urais

    Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
  16. S

    JamiiForums Tanzania WANA-CHADEMA, iko siku tutagundua kosa letu lingine kubwa ni kukubali kujitetea mbele ya hizi mahakama

    Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika vitu ambavyo nchi nyingi hazijakubali ni kupiga kura kwa mtindo wa kidigitali

    Tuanze kujiuliza kwa nini Digital election vote nchi nyingi zinaogopa ! Tutambue teknolojia kufikia kiwango cha kuhudumia mamilioni ya watu na bila kukosea landa itokee tatizo lilosababishwa na binadamu kama kudukua, kukata mawasiliano na n.k. Nchi nyingi bado zinatumia mfumo ambao kila mtu...
Back
Top Bottom