Katika vitu ambavyo nchi nyingi hazijakubali ni kupiga kura kwa mtindo wa kidigitali

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
Tuanze kujiuliza kwa nini Digital election vote nchi nyingi zinaogopa !

Tutambue teknolojia kufikia kiwango cha kuhudumia mamilioni ya watu na bila kukosea landa itokee tatizo lilosababishwa na binadamu kama kudukua, kukata mawasiliano na n.k.

Nchi nyingi bado zinatumia mfumo ambao kila mtu kuzaliwa kaukuta wa kutumia makaratasi ila japo kwa sasa umekuwa na ulaghai mwingi .na kusababisha kama wizi wa kula,idadi wafu ya walio piga kula,kuharibika kwa kula.

******* Nini ! maana Digital Election Vote (DEV)****

DEV-ni mfumo wa kidigitali ambao ukusanya data za wapiga kula wote na kutoa matokeo mubashara.

Uwezo DEV unaweza kuleta matokeo kwa wakati mfupi na kupunguza gharama za idadi kubwa ya usimamizi.

Uwezo DEV unaweza kusaidia kujua idadi ya wapiga kula na kuondoa tatizo la kula kuharibika.

IMG_1660.jpg



Kwanini DEV ni salama !

Usalama wa DEV unaweka uhuru ambao ufungamani kama visa vya wasimamizi wa vituo na mikasa ambayo sirahisi kutokea.

*Usalama wa DEV unaweza kusaidia tume ya uchaguzi kuwa uhuru na kutoingiliwa kwa sababu mfumo wa database na software zake zitakuwa kiwangu cha juu ambacho taasisi kubwa kama waangalizi wa uchaguzi na mataifa makubwa yanaweza kusimamia mifumo ya ulinzi na server.

IMG_1659.png


Faida za DEV !
Faida za devi ni kwamba matokeo yanakuja mubashara na idadi ya kupiga kula ikionekana mubashara kuanzia kwenye kituo,vituo,ngazi zote wabunge,madiwani mpaka raisi.

mfano wa picha
IMG_1661.jpg


Ushauri wa DEV kwa nchi yetu.

Tunaelewa kuwa sasa Tanzania inatumia mifumo ya kisasa kama vitambulisho vya taifa NIDA
IMG_1662.jpg



NIDA inauwezo mkubwa wa kumfanya mtu kupiga kula kwa sababu kitambulisho hiki ndiko kina mtambua kuwa ni raia kuliko cha kupigia kula.

Kwanini nimekataa cha kula.

Kutokana na kupugunza matumizi pesa kwa Serikali na usalama wa nchi.

kitambulisho cha NIDA kinaweza kumuweka mtu kupiga kula hata kama akiwa nje ya nchi yake kama kwenye balozi lake ili kupunguza usumbufu wa kuendesha zoezi la kila baada ya miaka kuandaa kadi za mpiga kula.

Je, DEV inaweza kuwa wapi na itakuwa sehemu gani!
*wazo la hili linaweza kuja kwa serikali kuwa na idara ambayo ifungamani na jambo lolote na yenyewe ikawa na idara ya data za watanzania wote.


IMG_1663.jpg


Idara hii inakuwa rekodi kuhusu mifumo yoyote kwa ajili ya mambo mbali mbali kama historia,hati,vifo,uraia,kupiga kula na n.k.


Project ni ndefu sana ..!
 
Jamaa kaficha tarehe ya kuzaliwa kwenye ID ya NIDA hafu kaacha full namba hajui kama kwenye namba 8 za mwanzo ni YYYYMMDD info za DOB.
 
Back
Top Bottom