Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala.
So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.
Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi...
Wanakumbi.
Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake.
Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
Nov 26, 2023 02:26 UTC
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.
Pia haijaelezwa mateka wasio...
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano.
Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.
Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
Wanabodi,
Mjinga na Mpumba..
Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna...
Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea.
Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.
Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results:
Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii.
John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.