Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?
Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama...
Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku,
Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri,
Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka...
Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
"Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
Trump alijaribu kumchimba mkwara Ayatollah.
Leo kapewa majibu yake na mzee.
Maneno ya Ayatollah:
The US President threatens us. With his absurd rhetoric, he demands that the Iranian people surrender to him.They should make threats against those who are afraid of being threatened. The Iranian...
Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa.
Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao.
Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui?
Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo
Ni mbinu gani ambayo...
Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni
Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini?
Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe.
Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa.
Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi.
Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi
This is bullshit
Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero...
Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita.
Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi zaidi, yatakuumba kuwa kiumbe cha aina gani?
Kila mtu ana zamani yake ambayo, kama ingewezekana...
Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia.
Ni jambo la ajabu kwa mwandishi wa vitabu kuwa na mawazo finyu namna hii unless kuna faida anaipata kwa...
Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni:
1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati
2)Kulipa msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.