Ukiona Mkeo / Demu wako anapenda sana Kupanda Pikipiki ( BodaBoda ) jua imekula Kwako na UKIMWI hauko mbali Kukufikia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,468
108,621
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.

Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa inatugawia Kinga (Kondomu) Kwenye vituo vyetu.
Ni Kauli ya Mmoja wa Weandesha Pikpiki wanaopaki eneo la Phantom Manispaa ya Shinyanga Siga Ngile Mkazi wa Shinyanga

Chanzo Taarifa: Cloudstv / CloudsDigitalUpdates

Kwa ninayoyaona Jijini Dar es Salaam hasa katika Vijiwe vya BodaBoda na jinsi baadhi ya Waendesha BodaBoda hizo ambao ni Marafiki ( Washkaji ) zangu wanavyoniambia kuhusu ' Kuwalala ' hovyo Wanawake ( hasa Wake za Watu ) huku wengine wakienda Kulala nao kwa ' Chap Chap ' kunako Mapori / Vichaka vya Jirani nakubaliana kwa 100% na hii Taarifa na huyu Mkazi wa Mkoani Shinyanga Bwana Siga Ngile.

Kuna Mmoja huniambia ya kwamba haoni sababu ya Kuoa tena kwani kwa idadi ya Wateja wake wa Kike ambao huwa anawala ' Uroda ' ili asiwe anawadai Nauli ( na wengi Wao ni Wafanyakazi wa maeneo ya Posta kwenye Ofisi Kubwa Kubwa ) ana uhakika wa kila Siku iendayo kwa Maulana / Mola Kulala ( Kutinduana / Kungonoana ) na Mmoja Wao. Anasema ya kwamba alikuwa na Malengo ya Kuja Kufanya Kazi Jijini Dar es Salaam kwa mwaka Mmoja tu kisha arudi Kijijini Kwako Kyaka Nkunde akafanya Kazi zingine lakini kwa Utamu wa ' Mbunye ' za bure bure za Wadada wapenda Kuteleza katika Ganda la Ndizi ( Wapenda Dezo Dezo ) huu sasa ni mwaka wake wa Tano yupo Jijini na wala hana tena hamu ya Kurejea huko Kwao.
 
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokan na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.

Pengine serikali ianziseh utaratibu wa kuwa inatugawia Kinga (Kondomu) Kwenye vituo vyetu.
Ni Kauli ya Mmoja wa Weandesha Pikpiki wanaopaki eneo la Phantom Manispaa ya Shinyanga Siga Ngile Mkazi wa Shinyanga

Chanzo Taarifa: Cloudstv / CloudsDigitalUpdates

Kwa ninayoyaona Jijini Dar es Salaam hasa katika Vijiwe vya BodaBoda na jinsi baadhi ya Waendesha BodaBoda hizo ambao ni Marafiki ( Washkaji ) zangu wanavyoniambia kuhusu ' Kuwalala ' hovyo Wanawake ( hasa Wake za Watu ) huku wengine wakienda Kulala nao kwa ' Chap Chap ' kunako Mapori / Vichaka vya Jirani nakubaliana kwa 100% na hii Taarifa na huyu Mkazi wa Mkoani Shinyanga Bwana Siga Ngile.
Kuna dada anakaa Segerea mwisho anadai kuanzia saa nne usiku ngono lazimishi hufanywa na bodaboda kwa wakina mama, sina uhakika na habari hizo ila wanadai ni tukio la kawaida sana kule...Ni hatari sana
 
Yaani mwanaume mzima ulazimishwe kufanya ngono na mwanamke kisa tu hajalipa nauli??

Nawe unaitikia kabisaaa...

Si ukatae tu aende
 
Wengine hawawezi kubali ukicheki mafuta ni gharama na amepoteza na mda wake na ile kazi inamuweka town kwahyo kukuacha burebure inakuwa ngumu
Yaani mwanaume mzima ulazimishwe kufanya ngono na mwanamke kisa tu hajalipa nauli??

Nawe unaitikia kabisaaa...

Si ukatae tu aende
 
Wengine hawawezi kubali ukicheki mafuta ni gharama na ameyapiteza na mda wake na ile kazi inamuweka town kwahyo kukuacha burebure inakuwa ngumu

Majibu yako haya yanaonyesha utakuwa ' unachapiwa ' mno Shemeji yetu Mkuu kwani ' Limbwata ' limeshakukolea hivyo husikii wala huambiwi lolote.
 
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.

Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa inatugawia Kinga (Kondomu) Kwenye vituo vyetu.
Ni Kauli ya Mmoja wa Weandesha Pikpiki wanaopaki eneo la Phantom Manispaa ya Shinyanga Siga Ngile Mkazi wa Shinyanga

Chanzo Taarifa: Cloudstv / CloudsDigitalUpdates

Kwa ninayoyaona Jijini Dar es Salaam hasa katika Vijiwe vya BodaBoda na jinsi baadhi ya Waendesha BodaBoda hizo ambao ni Marafiki ( Washkaji ) zangu wanavyoniambia kuhusu ' Kuwalala ' hovyo Wanawake ( hasa Wake za Watu ) huku wengine wakienda Kulala nao kwa ' Chap Chap ' kunako Mapori / Vichaka vya Jirani nakubaliana kwa 100% na hii Taarifa na huyu Mkazi wa Mkoani Shinyanga Bwana Siga Ngile.

Kuna Mmoja huniambia ya kwamba haoni sababu ya Kuoa tena kwani kwa idadi ya Wateja wake wa Kike ambao huwa anawala ' Uroda ' ili asiwe anawadai Nauli ( na wengi Wao ni Wafanyakazi wa maeneo ya Posta kwenye Ofisi Kubwa Kubwa ) ana uhakika wa kila Siku iendayo kwa Maulana / Mola Kulala ( Kutinduana / Kungonoana ) na Mmoja Wao. Anasema ya kwamba alikuwa na Malengo ya Kuja Kufanya Kazi Jijini Dar es Salaam kwa mwaka Mmoja tu kisha arudi Kijijini Kwako Kyaka Nkunde akafanya Kazi zingine lakini kwa Utamu wa ' Mbunye ' za bure bure za Wadada wapenda Kuteleza katika Ganda la Ndizi ( Wapenda Dezo Dezo ) huu sasa ni mwaka wake wa Tano yupo Jijini na wala hana tena hamu ya Kurejea huko Kwao.
Ulichoandika = wanaume wanaobanjuka na bar maid na wao ukimwi njenje.
 
Kuna siku nilikua napita usiku maeneo ya mabibo near NIT ...nilikuta demu anakula koni ya bodaboda kama hana akili nzuri...huenda aliona buku la nauli nikubwa sana.
 
Back
Top Bottom