Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Jul 17, 2019
322
645
Na Elius Ndabila
0768239284

Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya kutuongezea elimu.

Leo ninaomba muambatane nami katika makala hii fupi ya MBEYA wameamua kufuga BUNDI na kuachana kufuga Kuku. Inawezekana nimetumia msamiati mgumu hasa kwa kutumia neno BUNDI ambalo kwenye jamii ni kama ndege wa laana. Mahali popote nchini huwa bundi hatazamwi kwa nia njema. Bundi hutafusiriwa kama uchawi na ndiyo maana kwetu Wakiristo ukiona BUNDI yupo kwenye paa la nyumba yako huwa tunasali kwa kukemea kuwa ni pepo la laana au uchawi.

Hivyo kwa Binadamu wa kawaida kujaribu kufuga BUNDI na kuachana na Kuku anayempatia nyama na mayai na kuamua kufuga bundi eti ili kuongeza nyama na uwingi wa mayai ni laana. Kama unataka nyama nyingi au mayai mengi basi unapaswa kumlisha sana Kuku ili akusaidie kutoa nyama nyingi na kutoa mayai mengi yatakayosaidia kutotoa vifaranga vingi. Lakini kufuga BUNDI na kuacha kumlisha Kuku basi tafsiri yake ni kujitakia laana kwenye jamii.

Kwa wapenda soka wote nchini wataafikiana nami kuwa MBEYA City ndiyo timu iliyojaribu kurudisha taswira ya mkoa wa MBEYA baada ya Miata mingi kupotea kwenye ramani ya soka. Mimi binafsi nilijiunga na kuwa mwanachama wa MBEYA tawi la Mwanjelwa mwaka 2014 na mwaka 2015 niliamua tena kubaki kuwa shabiki wa Tanzania Prison hadi hivi leo. Lakini uimara wa Prison unategemea uimara wa MBEYA City.

Kinachofanyika sasa MBEYA ni sawa na kufuga BUNDI na kuachana na kuku ambaye ni MBEYA City. Waliosababisha MBEYA city kukua na kuwa tishio nchini ndiyo hao ambao leo wameitelekeza na kupambana kuipandisha MBEYA Kwanza ambayo ipo daraja la kwanza. Katika ligi kuu ya VPL inayoendelea nchini MBEYA City ni moja ya timu zinazoendelea kufanya vibaya mno hadi kutishia kushuka daraja. Hii ni kwa kuwa saponin ya Watu wa MBEYA imehamia Mbeya kwanza timu ambayo hawajui hata ubora wake. WAMEAMUA kuipigania MBEYA city ili baadae ije izae timu zingine MBEYA, wao wanapambana kuitelezekeza MBEYA City na kuinua MBEYA kwanza. Mungu Anatabia ya kunyang'anya hata alichokupa usipokuwa na nidhamu. Haitakuwa jambo geni Kama MBEYA city itashuka daraja na MBEYA kwanza kushindwa kupanda daraja, HUYU NDIYE MUNGU ASIYEDHIHAKIWA. Acha kufuga BUNDI tunzeni huyu Kuku atasaidia kuwapa kuku wengine. Munahangaika na BUNDI munajua radha ya nyama yake?

Halmashauri ya jiji la MBEYA inayoongozwa na CDM Tafakarini hili. Mnanafasi kubwa ya kuinusuru Mbeya City. Lakini si hivyo tu serikali ya jiji la MBEYA kipigo ambacho MBEYA city anakimbana nacho msimu huu si ubovu wa timu wala Mwalimu Mwambusi Bali ni Msongo wa mawazo wa wachezaji uliokwisha kuwathiri kisaikolojia. Wanaona fika wadau wamewageuzia kisogo wanahangaika na MBEYA kwanza. MBEYA city ninayoijua ya kipindi kile si ya kufungwa na Kagera mabao matatu Sokoine. Siku nyingi nimewaeleza kwenye group zetu za Whatsapp kuwa mnachofanya kwa MBEYA kwanza ni kukua MBEYA city. Ninadhani kama mwanzo hamkunielewa sasa mtaanza kunielewa kwa matokeo mnayoendelea kuyapata. Ninamhurumia sana rafiki yangu Mh Adam Simbaya Diwani wa Mbalizi road ambaye ni mhanga mkubwa wa MBEYA city.

Ninaamini Mbeya mnayonafasi ya kukaa na kutafakari ili michezo iliyobaki muweze kufanya vizuri na kubakiza timu pendwa ya Wanambeya ligi kuu. Kinyume cha hapo MBEYA kwanza haitapanda na MBEYA city itashuka daraja tutaishia kubaki na Tanzania Prison pekee yake labda na MCHAKAMCHAKA FOOTBALL CLUB ya Lali Ibaba Ileje tukiihamishia uwanja wa Sokoine. Hadi sasa MBEYA city imecheza mechi Saba na inapointi 4. Acheni siasa tengenezeni mpira. Duniani kote kitu kinachowaunganisha wanasiasa ni mpira/michezo. Hivi MBEYA City ikifa wanachama wa vyama vya siasa mtapata wapi mahali pa kushikana mikono na kusalimiana baada ya minyukano ya majukwani? Dar es salaam wana akili ndiyo maana yanga na Simba zipo. Hizo ndiyo nembo ya DSM. Tengenezeni MBEYA city kwanza, MBEYA kwanza ije kukiwa na MBEYA yenye nguvu na si MBEYA City mfu.

Ninawatakieni mwisho mwema wa Juma huku mkiendelea kuitafakari sauti ya kuacha kufuga BUNDI na kuacha kufuga Kuku.
 
Wewe utakuwa mpumbavuh. Yaani ukimwona Bundi mtini unamkemea kuwa ni pepo? Huo ni Ukristo wa wapi?sisi kwetu tulifundishwa bundi ni ndege na anahaki ya kuwa mtini si ajabu.itakuwa ajabu ukimwona ng'ombe mtini ndo utaweza fikiria kuwa ni pepo. Acha kuhusisha ukristo na ushirikina.

Waliyoiua Mbeya City ni CCM na Yanga. Kocha wa mwanzo alipoanza kuwa anauza mechi za Yanga wachezaji wengi walikasirika.mwambusi nanalifahamu hili maana mara nyingi ashagombana na baadhi ya wachezaji na akawa hawapangi au anagoma kuwaongezea mkataba .

CCM waliona kama kustawi kwa MBEYA CITY ni kustawi kwa CDM. hivyo ikaanza hujuma na kuingiza siasa za kipuuzi. Basi wachezaji wakaona hawana haja ya kukomaaa...wakikutana na team ikataka kununua matokeo. Wanauza. Maisha yanaendelea.

Hivi lengo lako la kuweka namba ni nini? Kupigiwa uteuliwe? Kwani huwezi kuandika makala bila kuweka namba? Wandali/wamalila mnakwama mahali shame kwa mnaotokea mkoa wa songwe na mby
 
Ligi bado mbichi kabisa hii. Kwanza unarudhalilisha watu wa Mbeya kwa lafudhi yako. pili kosa sio la mashabiki au supporters bali menejimenti ya timu maana kama Support Mbeya city imepata sana ila kinachokwaza ni kutopiga hatua na kuendelea kuwa timu ya kawaida.

Daraja la kwanza ipo pia Ihefu fc kutoka Mbarali inafanya vizuri japo imekaa KiCCM CCM.
 
hiyo timu ni vigumu kuendelea itakufa tu.. maana siasa imeimaliza kabisa.. ccm ndo wameishikia panga la maangamizi wakidhani nguvu ya chadema inatokan na mafanikio ya mbeya city
 
tatizo la MBEYA CITY limeanzia kwa viongozi wa timu wajuu wote wapigaji naninashukulu kama mashabiki wameanza kutambua nakujitambua kama wao sio wajinga
ukirudia historia ya mpira mbeya timu za mbeya uwa zinapendwa sanaa zinapo kuwa zinaanza kucheza ligi kuu tatizo linaanza pale wanapo anza kujiona wao niwajuaji kama MBEYA city
 
Wewe ndiye Ndabila aliyesoma sekondari Itundu na chuo kikuu UDOM?.

Kama ndiye, come to your normal sense brother. Aliyeiharibu Mbeya, ndiye anayejifanya kuwa na uchungu wa kuitengeneza leo, shame on you.
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya kutuongezea elimu.

Leo ninaomba muambatane nami katika makala hii fupi ya MBEYA wameamua kufuga BUNDI na kuachana kufuga Kuku. Inawezekana nimetumia msamiati mgumu hasa kwa kutumia neno BUNDI ambalo kwenye jamii ni kama ndege wa laana. Mahali popote nchini huwa bundi hatazamwi kwa nia njema. Bundi hutafusiriwa kama uchawi na ndiyo maana kwetu Wakiristo ukiona BUNDI yupo kwenye paa la nyumba yako huwa tunasali kwa kukemea kuwa ni pepo la laana au uchawi.

Hivyo kwa Binadamu wa kawaida kujaribu kufuga BUNDI na kuachana na Kuku anayempatia nyama na mayai na kuamua kufuga bundi eti ili kuongeza nyama na uwingi wa mayai ni laana. Kama unataka nyama nyingi au mayai mengi basi unapaswa kumlisha sana Kuku ili akusaidie kutoa nyama nyingi na kutoa mayai mengi yatakayosaidia kutotoa vifaranga vingi. Lakini kufuga BUNDI na kuacha kumlisha Kuku basi tafsiri yake ni kujitakia laana kwenye jamii.

Kwa wapenda soka wote nchini wataafikiana nami kuwa MBEYA City ndiyo timu iliyojaribu kurudisha taswira ya mkoa wa MBEYA baada ya Miata mingi kupotea kwenye ramani ya soka. Mimi binafsi nilijiunga na kuwa mwanachama wa MBEYA tawi la Mwanjelwa mwaka 2014 na mwaka 2015 niliamua tena kubaki kuwa shabiki wa Tanzania Prison hadi hivi leo. Lakini uimara wa Prison unategemea uimara wa MBEYA City.

Kinachofanyika sasa MBEYA ni sawa na kufuga BUNDI na kuachana na kuku ambaye ni MBEYA City. Waliosababisha MBEYA city kukua na kuwa tishio nchini ndiyo hao ambao leo wameitelekeza na kupambana kuipandisha MBEYA Kwanza ambayo ipo daraja la kwanza. Katika ligi kuu ya VPL inayoendelea nchini MBEYA City ni moja ya timu zinazoendelea kufanya vibaya mno hadi kutishia kushuka daraja. Hii ni kwa kuwa saponin ya Watu wa MBEYA imehamia Mbeya kwanza timu ambayo hawajui hata ubora wake. WAMEAMUA kuipigania MBEYA city ili baadae ije izae timu zingine MBEYA, wao wanapambana kuitelezekeza MBEYA City na kuinua MBEYA kwanza. Mungu Anatabia ya kunyang'anya hata alichokupa usipokuwa na nidhamu. Haitakuwa jambo geni Kama MBEYA city itashuka daraja na MBEYA kwanza kushindwa kupanda daraja, HUYU NDIYE MUNGU ASIYEDHIHAKIWA. Acha kufuga BUNDI tunzeni huyu Kuku atasaidia kuwapa kuku wengine. Munahangaika na BUNDI munajua radha ya nyama yake?

Halmashauri ya jiji la MBEYA inayoongozwa na CDM Tafakarini hili. Mnanafasi kubwa ya kuinusuru Mbeya City. Lakini si hivyo tu serikali ya jiji la MBEYA kipigo ambacho MBEYA city anakimbana nacho msimu huu si ubovu wa timu wala Mwalimu Mwambusi Bali ni Msongo wa mawazo wa wachezaji uliokwisha kuwathiri kisaikolojia. Wanaona fika wadau wamewageuzia kisogo wanahangaika na MBEYA kwanza. MBEYA city ninayoijua ya kipindi kile si ya kufungwa na Kagera mabao matatu Sokoine. Siku nyingi nimewaeleza kwenye group zetu za Whatsapp kuwa mnachofanya kwa MBEYA kwanza ni kukua MBEYA city. Ninadhani kama mwanzo hamkunielewa sasa mtaanza kunielewa kwa matokeo mnayoendelea kuyapata. Ninamhurumia sana rafiki yangu Mh Adam Simbaya Diwani wa Mbalizi road ambaye ni mhanga mkubwa wa MBEYA city.

Ninaamini Mbeya mnayonafasi ya kukaa na kutafakari ili michezo iliyobaki muweze kufanya vizuri na kubakiza timu pendwa ya Wanambeya ligi kuu. Kinyume cha hapo MBEYA kwanza haitapanda na MBEYA city itashuka daraja tutaishia kubaki na Tanzania Prison pekee yake labda na MCHAKAMCHAKA FOOTBALL CLUB ya Lali Ibaba Ileje tukiihamishia uwanja wa Sokoine. Hadi sasa MBEYA city imecheza mechi Saba na inapointi 4. Acheni siasa tengenezeni mpira. Duniani kote kitu kinachowaunganisha wanasiasa ni mpira/michezo. Hivi MBEYA City ikifa wanachama wa vyama vya siasa mtapata wapi mahali pa kushikana mikono na kusalimiana baada ya minyukano ya majukwani? Dar es salaam wana akili ndiyo maana yanga na Simba zipo. Hizo ndiyo nembo ya DSM. Tengenezeni MBEYA city kwanza, MBEYA kwanza ije kukiwa na MBEYA yenye nguvu na si MBEYA City mfu.

Ninawatakieni mwisho mwema wa Juma huku mkiendelea kuitafakari sauti ya kuacha kufuga BUNDI na kuacha kufuga Kuku.

Elius W Ndabila

Does this has anything to do with Politics ??
CHADEMA inahsuika vipi na Mbeya City ???
Mbona sasa usiipongeze CHADEMA (yenye kuongoza Jiji la Dar Es Salaam ) kwa success za timu kama Simba au Yanga ?
Hapa umekengeuka, yaani umekuwa Kenge....
 
Umeandika ugoro!!
 
Washabiki wote wa mbeya city wameahidi kutofanya makosa tena, awamu ijayo watafanya vyema sana.
 
tamaa za mwambusi huwa zinaiponza timu huwa na tabia ya kuchukua wachezaji cheap ambao huwa wana mshahara wa 500000 kwa mfano ila anawambia ili nikusajiri utakula 300000 ko hyo 2 yake.alafu pia ligi kuu unawezaji kuwa na wachezaji karibia wote wa kikosi cha kwanza ni wageni utachezaje na timu zenye wazoefu ndio kinawaponza city
wana mbeya wanaipenda sana city ila kina Kimbe watoke waje wengine
 
Back
Top Bottom