Vifaranga wa kuku chotara wa kuloiler

alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
751
500
Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler
Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks

Tupo Busweru, Mwanza
tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk

Bei za vifaranga:
Umri wa siku 1 hadi 5: TSh 1,500/=
Umri wa siku 14: TSh 2,000/=


Wasiliana nasi kwa maelezo na ushauri wowote unaohitaji kuhusu ufugaji wa kuku

Simu/Whatsapp: 0767 659145
Simu/Whatsapp: 0620 246040
Simu: 0787659145
Email: info@kuku.co.tz


kuku.co.tz.jpg
 
Top Bottom