kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama unapitia changamoto na unahisi kukata tamaa pita hapa

    " FORREST GUMP" Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk. Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

    Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani. Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi...
  4. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Hali ya kukosa umeme haivumiliki na Watanzania siyo wajinga kiasi hicho

    Habari wana familia ya JF. Naandika huu uzi nikiwa na hasira sana, kama yatajitokeza makosa ya kiuandishi basi mniwie radhi.Ni muda kama wiki sasa tangu serikali hii dhalimu ilipotangaza mgao wa umeme kwa umma ila uhalisia mgao wa umeme ulianza muda sana tangu waziri makamba aingie pale...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maamuzi, kupata, kukosa

    Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu unachokihitaji hii ndio tunaita Scarcity of resources kwenye uchumi. Kwenye mchoro imewakilishwa na point F. Inamaana hiki ni kile kitu ambacho unakitamani sana ukipate lakin hauna uwezo wa kukipata kutokana na uchache wa mali zako, elimu yako nk...
  6. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania TRA ni taasisi ya kukosa network kweli?

    Nimekuwa nafuatilia masuala yangu TRA (sisemi ni wapi) hapa Dar. Wakati wahudumu wakiendelea na huduma unasikia wanasema subiri network irudi. Hapo majukumu inabidi yasimame hadi network ikae tena sawa. Ikifika hapo baadhi ya wateja huamua muahirisha kilichowapeleka pale. Hili nimekumbana nalo...
  7. May Day

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  8. geesten66

    JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla. Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, kuna shule zinawachapa viboko wanafunzi kwa kukosa mahitaji ya shule, watoto wanahusikaje?

    Waziri wa elimu hebu litupie macho hili la walimu kuwaadhibu wanafunzi kukosa michango na mahitaji ya shule,kama hao watoto ndio watafutaji wa hayo mahitaji. Kwanini usimuite mzazi ukamuadhibu kwa hilo kosa la kutomtimizia mtoto wake mahitaji, unamchapa viboko mtoto ana kosa gani? Pili hiyo...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa waandishi habari vijijini husababisha changamoto lukuki zilizopo huko kukosa utatuzi

    Imezoeleka kuwa habari za vijijini zinapatikana pale kiongozi wa kitaifa akienda huko huku akiongozana na wandishi wa habari toka mjini kwa ajili ya uzinduzi wa jambo fulani kama vile Kisima, Hospital nk lakini baada ya hapo huondoka zao na kurudi walikotoka bila hata ya kuzunguka na kujua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi kinahitaji kufuga Mbwa wengi kuepuka maparachichi kukosa walaji

    Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
  12. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Marekani yakosa Wagombea Urais: Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem

    DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem Kristyn Burtt December 30, 2021·2 min read Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

    ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana. MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
  14. Sajo

    JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

    Ndugu wana JF, Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi. Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
Back
Top Bottom