kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  2. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinachopelekea ukoo kuwa na nguvu na ukoo mwingine kukosa nguvu kwenye jamii zinazotuzunguka?

    Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia, ukoo, jamii mpaka nchi kwa ujumla. Karibuni wakuu.
  3. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  4. mekuoko

    JamiiForums Tanzania Taifa langu linateketea kwa kukosa maarifa

    Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa. Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda madaraka. Kundi hili la watawala wanawatoza watawaliwa wanyonge makodi makubwa bila kujali kama...
Back
Top Bottom