Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa ….
Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI.
Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini unapo enda kununua simu au Laptop hasa kariakoo na wewe ni suala la muda tu kutapeliwa…
Kwanini ...
Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko hilo pamoja na masoko ya Manzese A na B yaliyopo Manispaa ya Songea.
Katika ziara hiyo, Mkuu wa...
Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.
Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike.
Pili, tumwone pia...
Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale.
Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2
Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
02 September 2025
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka.
Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
Anonymous
Thread
chakula
elimu
kukagua
maafisa
mashuleni
ombi
shule
wanafunzi
wao
zao
#Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao.
Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki.
Nimekuwa kwenye soko la...
dubai
kabla
kariakoo
kukagua
kununua
kutoka
maduka
mambomuhimuyakuzinagatiakwenyesimu
matatizoyasimuusedkutokadubai
simu
simu used
simuzauborakariakoo
usa
used
wauzalaptopborakariakoo
wauzasimuborakariakoo
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri
Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa
Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii
Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache.
Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja.
Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi...
UPDATE / MREJESHO:
Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0
model ni HTS545032A7E380
Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024.
Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
Barabara ya ubungo-Mbezi mwisho inaongoza kwa Kuegeshwa malori njiani, Malori yanasababisha foleni kubwa sanaa, Nashindwa kuelewa kuwa Mamlaka Huwa haifanyi ukaguzi wa magari haya?
Yanaachwa yafanye safari zake yakiwa mabovu cha ajabu yanazima njiani, inakuwa kero kwa Watumiaji wa barabara...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo zimekuwa zikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara na kuwasilisha taarifa hizo kwa wakuu wa Mikoa ili...
Siku hizi idadi ya watoto wanaokwenda kumbi za starehe ni wengi mno. Na utawakuta wanakunywa pombe, kutumia madawa ya kulevya, kujiuza, kuvuta sigara, kufanya biashara haramu na mambo mengine yanayokiuka jamii.
Tatizo hili tunaweza tusione madhara yake sasa hivi lakini ndo tunavyokuza kizazi...
MBUNGE CONDESTER Atembelea Eneo Lenye Madini ya Sodalite Kukagua Utafiti Unaoendelea Kijiji cha Chindi
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameambatana na Afisa Madini mkazi Mkoa wa Songwe, Chone Malembo, ametumia mtubwi kuvuka mto Nkana kuelekea Kijiji cha Chindi kwenda...
Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua.
Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule.
Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Busega.
Kwenye wilaya ya Busega, Jumla ya Miradi 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.