kukagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi atembelea na kukagua miradi ya barabara na madaraja iliyojengwa kwa fedha za Serikali

    DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi hiki cha mapumziko ya Bunge ameendelea kufanya ziara Jimboni kwa kufanya shughuli za maendeleo...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya chakula(TMDA) ingieni kazini kukagua samaki na nyama nchi nzima, tena kwa uwazi, tamko ya Makamu wa Rais linatutia hofu

    Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi. Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga kukagua Server za Tume ya Uchaguzi leo

    Mahakama ya Juu imeamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iruhusu Azimio la Umoja kufikia seva zinazotumiwa kutuma matokeo katika Kituo cha Kitaifa cha Kujumlisha Kura ikiwa ni pamoja na kutoa nenosiri la usimamizi wa mfumo Zoezi hilo limeratibiwa kufanyika leo, Jumatano, Agosti 31...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mahakama Kuu yamruhusu Odinga kukagua mifumo ya kuhifadhi taarifa za Uchaguzi ya IEBC

    Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu. Pia Mahakama iliagiza Tume kumpa masanduku ya Kura kutoka vituo mbalimbali yafunguliwe kwa ajili ya ukaguzi...
  6. EAPGS

    JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  7. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa. Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania TFDA ni muda sasa wa kuingia na kukagua bidhaa katika masoko ya vyakula

    Mamlaka zetu nyingi zimekuwa zikifanya kazi katika mfumo ule ule wa zamani tofauti na hali halisi ya sasa. Kwenye masoko ya vyakula hali ni hatari mno maana wananchi wengi wanalishwa sumu bila kujua,na lengo la mfanyabiasha ni kupata pesa bila kujali anaenda kumuumiza mlaji. Juzi kuna Mama...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kukagua ubora wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya, wanaanza na Muhimbili Hospital

    "Wizara ya Afya kuanza kukagua ubora katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini," hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Profesa, Abel Makubi katika mkutano wa viongozi wa vyama vya kitaaluma vya Afya uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Prof. Makubi amesema kuelekea uboreshaji wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CAG sasa ni wakati kukagua sticker za magari tunayouziwa

    Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?. Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kukagua magari kurudi kama zamani

    Mhe. Rais tunakushukuru kwa tamko lako kuwa ukaguzi wa magari utarudi kama zamani. Naomba amri hii ingeanza hata leo. TBS wamekuwa wanatumia nafasi zo vibaya kwa kuwatesa wananchi wanapofuata magari yao Bandarini. Asilimia karibu 98 ya wateja hawajatoka bure bila kuambiwa kuwa gari yako...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usiingize housegirl nyumbani kwako bila kukagua begi na mifuko yake

    Huwa nashangaa sana wakifika majumbani wana pelekwa moja kwa moja vyumbani bila ukaguzi, hii ni hatari. Hakikisha siku ya kwanza house girl wako anapofika tu, step ya kwanza inabidi apekuliwe begi kujua kama kuna kitu chochote kitachohatarisha usalama wenu, Hapa akikataa ni heri mumlipie lodge...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

    WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari

    "Nimefanya ziara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze Modern Islamic. Sekondari hii ni alama ya mashirikiano baina ya Serikali na watu binafsi. Kupitia Serikali ya awamu ya Sita, mashirikiano haya yatazidi kuimarishwa kwa faida ya Taifa letu." Mbunge wa Chalinze Mkoani...
  18. JF Member

    JamiiForums Tanzania TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

    Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini? Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma. Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
  19. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

    IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete aendelea kukagua miradi ya maendeleo Chalinze

    RIDHIWAN KIKWETE AENDELEA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO CHALINZE. Chalinze, Pwani. Mbunge wa Chalinze ndugu Ridhiwanii Kikwete ameendelea na ziara yake ya Kijiji Kwa Kijiji katika jimbo la Chalinze Kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye shughuli za maendeleo pamoja na kukagua miradi...
Back
Top Bottom