kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Nimekuja Kujua Hili

    Wanaume ambao ni malaya wanaosumbua wanawake zao ni wanavibamia . 1. Huwapiga wake zao 2. Huwa wanavurugu sana 3. Huwa wanajiona wanajua 4. Wanawake wengi mno kila mtu yeye . 5. Huwa hawana amani hawajiamini na hawajipendi yaani afya zao haziridhishi. WAnaoa sana kama ni waislam . Jipya hakuna
  3. Kitwango Mikazo Miguno

    JamiiForums Tanzania Apk ya kujua afya ya battery ya simu yako (android phones)

    HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aisapoti " OKTOBA TUNATIKI" eidha kwa kujua ama kutokujua

    Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe. Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE. NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua

    Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua Ibada ya sanamu ni nini Mara nyingi watu wamedhani kwamba ibada ya sanamu ni kuweka kinyago hapo mbele yako na kuanza kukiabudu. Kwa upande mwingine, watu wanashangaa wenzao ambao wana vinyago majumbani, mahekaluni, kazini, nk, na wakiviabudu na kuviita...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kila Mwanamke Anapaswa Kujua Hili Kuhusu Mvurugiko wa Hedhi

    Hedhi ni Nini Haswa? Hedhi ni damu inayotoka kutokana na ukuta wa ndani ya mfuko wa mimba (uterus) ambao huandaliwa kila mwezi kwa ajili ya ujauzito. Endapo mimba haijatungwa, ukuta huo hubomoka na kutoka kama damu ya hedhi. Wanawake huanza kuona hedhi wakati wa kubalehe (puberty) kati ya miaka...
  8. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi bado ni watumwa bila wao kujua?

    Habari Wakuu! Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake au tamaa zake au fikra za mtu mwingine bila ya kutumia akili zake na utashi wake mwenyewe. Na watu...
  9. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  10. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Maulizo ya kutaka kujua kwa undani

    Tofauti Kati ya Police Service ya Kenya na Police Force ya Tanzania ni nini wadau?
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

    Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
  12. screpa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
  17. Surya

    JamiiForums Tanzania Kujua yatakayotokea 2025 nchini huitaji uwe nabii

    Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili. Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti. Nakupa mfano mmoja, Daudi...
  18. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Kwa Lugha rahisi na mifano msaada wa kujua tofauti ya active, portifolio na Passive incomes.

    Karibuni wataalam wa uchumi na masuala ya kifedha. Natanguliza shukrani.
  19. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua kuendesha gari/ Driving school

    Habari wadau, Driving school gani au mwalimu gani Mzuri sana wa gari kwa Dar es Salaam ambae anaweza kumsaidia mtu ambaye hana confidence kabisa ya kuendesha gari (ana uoga sana) ukizingatia alishawahi kwenda driving school mara mbili katika vipindi tofauti lakini bado hajui Msaada jamani...
  20. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuangusha noti bila mteja kujua

    Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale... Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia...
Back
Top Bottom