kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Kujua waliomshambulia Fr. Kitima, kapimeni DNA kwenye meza, viti, vijiko, chakula, na viywaji vinanyosemekana washambuliaji walikuwa wanatumia

    Dunia imefika mbali sana kwa sayansi na teknolojia hasa kwenye majeshi na njanja za matibabu. Kama inavyosemekana kuwa waliomshambulia Fr Kitima walikuja kama wateja na kuagiza vinjwaji na vyakula wakaenda kula wakati wakisoma target yao, baada ya kushambulia wakakimbia. Kama hawa watu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Taarifa za Kampuni Yoyote

    Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara. Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za Kampuni? Linapokuja suala la search watu wengi hukimbilia online sites na ku search Kampuni husika, na...
  3. Sarisasa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Wakuu habari zenu. Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza. Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
  4. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Technophilic Leo nimeumbuka! Nime compromise personal security bila kujua

    Ndugu wapenda technologia…. Hii yote inahusu simu yangu ya iphone Leo nimepata pigo kubwa la security Bleach KWA KUKUSUDIA NA PASIPO KUKUSUDIA Hivi juzi kati nimenunua simu nyingine Iphone 11 kutoka ka mtu naefahamiana nae na mm nililua natumia iphone X max Sasa changamoto ikawa kwene...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Mliokuwa mkitaka kujua Tafsida ya neno Kujamba / kwa Kiswahili Fasaha hili hapa

    Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  7. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kusudi lako la kuishi duniani

    Habari Wakuu! Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na  kuliishi kusudi lake. Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
  8. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  9. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  11. I

    JamiiForums Tanzania Unapochagua Laptop, Hii Ndiyo Kitu Ambacho Kila Mtu Anapaswa Kujua

    “Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu. Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof. Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunaomba kujua hivi vyama ambavyo vinatoa tamko kila kukicha

    Naona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubali uwezo wa Rais. Sijui chama cha mapimbi na n.k Hivi vyama vina uwezo gani yani leo Dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

    Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
  15. wakunyonya

    JamiiForums Tanzania WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

    Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
  16. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  17. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya huu ubao

    Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao
  18. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua

    Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa
Back
Top Bottom