Kitwango Mikazo Miguno
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 244
- 419
HABARI YAKO.
Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini.
Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa asilimia (%) - BATTERY HEALTH.
Kwenye Android pia unaweza kujua kupitia Third-party application ambayo itakupa uwezo wa kujua mambo mengi tu kwenye simu yako. Utatakiwa tu kwenda kujaza Design Capacity kwa mAh form halafu yenyewe itakupa Estimated Capacity na Battery Health.
ACCUBATTERY - Ni apk ambayo utaikuta playstore hivyo utaisakinisha kwenye device yako na baada ya kuset tu chomeka chaji ili ipate full access. Baada ya hapo tu utakua umepata jibu kua Je! Battery yako bado ina capacity nzuri au inahitaji kubadilishwa.
Hapo nikiwa nachaji Device.
Hapo inanionesha afya ya battery yangu. Lakini pia kumbuka ina FREE PLAN na unaweza ku subscribe ukawa PREMIUM USER.