kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Usikate tamaa ila jifunze kujua mda sahihi wa kuachilia jambo

    USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA. Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako. Point ni hivi, kama kitu kinakufanya unakosa amani, kinakufanya unadhohofika afya yako, kinakufanya uwe mbali na Mungu...
  2. Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

    Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki. Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
  3. Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

    Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
  4. Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  5. P

    Maoni yangu: Mbowe kuwa na kesi ya kujibu ni fursa ya kujua zaidi wasiojulikana wanafanyaje kazi

    Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali...
  6. Mwenye kujua maswali ya oral ya PCCB-2022 msaada

    Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu. Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali ya oral ya TAKUKURU (PCCB) msaada wenu ili uyu mtoto aweze kupata nafasi ya kazi maana amekaa sana...
  7. F

    Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa wilayani Ngorongoro mwaka 2021/2022. Baada ya hapo mtajua mwekekeo

    Hali wadau wa JF, habari zenu. Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary. Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha wananchi wa huko kwenda maeneo mengine. Lengo ni kuokoa hifadhi ya Crater ya Ngorongoro. Lengo...
  8. A

    Naomba kujua mshahara wa Diploma ya Ustawi wa jamii

    Naomba kujua mshahara wa diploma ya ustawi wa jamii.
  9. Naomba kujua kwanini Mwl. Nyerere hakuwahi kuvaa sare ya CCM?

    Usije unapumua na kuhema juu juu kama una ushahidi wa picha ya Mwl aliyokua amevaa sare ya CCM tafadhali share, kama hakuna ni kwa nini aikua havai?
  10. Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  11. Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

    Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako. Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
  12. Mtoto ana haki ya kujua asili yake. Wamama msiwafiche Watoto Baba zao

    MTOTO ANAHAKI YA KUIJUA ASILI YAKE. Anaandika Robert Heriel. Hakuna sababu yoyote inayozuia na kumnyima Haki mtoto kuijua Asili yake. Mtoto lazima amjue Baba yake mzazi, Mtoto lazima ajulishwe mama yake Mzazi. Hiyo ni Haki ya Mtoto. Mtu ili ajitambue lazima atambue asili yake. Mtu ambaye...
  13. Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  14. Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

    Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake...
  15. Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  16. J

    Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
  17. Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  18. Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  19. Naomba msaada jinsi ya kujua Laptop ya bei ndogo chini ya 500,000 yenye uwezo mzuri

    Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
  20. Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

    Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…