kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  2. JamiiForums Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  3. JamiiForums Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  4. P

    JamiiForums Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  5. JamiiForums Napenda kujua zaidi kuhusu Kilimo cha minazi (coconut tree)

    Habari wa ndugu, Napenda kupata maarifa zaidi kwenye ulimaji wa minazi, hasa kibiashara. 1. Wapi napata mbegu nzuri za kisasa 2. Utayarishaji shamba? 3. Muda gani wa kupanda, na namna gani nzuri. 4. Kwa ekari moja inaapendekezwa miti mingapi? Na habari nyingine muhimu. karibuni
  6. P

    JamiiForums Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  7. JamiiForums Naomba kujua kuhusu hizi gari

     Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo: 1.comfortability yake. 2.fuel consumption 3.Availability of spare part zake. 4.Durability 5.Stability yake. 6.Changamoto zake. na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii. Asanteni sana
  8. JamiiForums Forensic audit ifanyike kujua michango ya Chadema ya kidijital imetumika vipi. Haiwezekani tuchange kidijital alafu wawe na magumu.

    Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri. Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
  9. T

    JamiiForums Nimesikitika kujua Dogo Petit Reagan (Little Reagan) aliyeimba na Blaise Bula Ponderation 8 alifariki

    Wale wapenzi wa muziki wa Congo watakua sio wageni wa Petit/Little Reagan. Bwana mdogo aliesherehesha albamu ya mwanamuziki wa Congo B. Bula Ponderation 8 ya mwaka 1999/2000. Kwenye hiyo albamu ya Ponderation 8, na wimbo wa Ponderation 8 ambao ndio ulibeba jina la albamu, dogo Little Reagan...
  10. JamiiForums Mwenye kujua mpinzani wa huyu mwamba kwa Bei chini ya buku sita 6000/=

    Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa. Hana longo longo Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
  11. JamiiForums Mwenye kujua kuhusu Twiga Force na inapopatikana

    Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
  12. P

    JamiiForums Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market. Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa...
  13. JamiiForums Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  14. M

    JamiiForums Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  15. JamiiForums Ijue formula rahisi ya kujua jambo kama ni baya au zuri

    Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri. Natoa mifano kadhaa. 1. Dini. Ukiweka herufi U kabla ya neno Dini unapata neno UDINI. Maana...
  16. B

    JamiiForums Kisingizio gani uliweka kwa mwenza wako baada ya kujua umepiga shoo mbovu?

    Habari wadau, Mafarisayo, wapambanaji, watafutaji bila kusahau wachakataji. show yangu mbovu kuliko zote ni mwenda zake aligoma kusimama kabisa bustani ya eden nilivuta bangi na hisia zote lakini wapi wala hakutikisika. basi binti alituma sana salamu BJ lakini wapi sijui mizimu ilitaka...
  17. J

    JamiiForums Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  18. JamiiForums Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

    Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
  19. JamiiForums Wanawake wanamambo meeengi ya kujirudia rudia bila wao kujua

    Wakuu heshima zenu kuna jambo hapa iko hivi. Maisha ya wanawake naona km wao wana mambo mengi wanayofanya kila siku tena mara nyingi zaidi ya wanaume. Namba tatu (3) sina uhakika sana ila wanawake kongole kwao wanachangamsha ulimwengu toka kwa enzi za mzee Adam MAMBO HIZO NI KAMA- 1. kuongea...
  20. JamiiForums Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…