Wanawake wanamambo meeengi ya kujirudia rudia bila wao kujua

Mkanganyiko kukanganya

JF-Expert Member
Jun 26, 2022
465
2,484
Wakuu heshima zenu kuna jambo hapa iko hivi. Maisha ya wanawake naona km wao wana mambo mengi wanayofanya kila siku tena mara nyingi zaidi ya wanaume.

Namba tatu (3) sina uhakika sana ila wanawake kongole kwao wanachangamsha ulimwengu toka kwa enzi za mzee Adam

MAMBO HIZO NI KAMA-
1. kuongea maneno mengi sana kwa siku

2. kubadili nguo zaid ya mara tatu kwa siku

3. Kwenda chooni mara nyingi zaidi

4. Kuomba misaada ( pesa, kusindikizwa, kubeba n.k)

5. Kula/kutafuna misosi mara nying zaidi

6. Kujiangalia/kujikagua ktk kioo

7. kuoga oga

8.

9.
 
Hili la kuongea Sana kwa kweli linakera Sana.

Kingine wakiombwa mzigo wanaleta visingizio vya kuumwa na tumbo, kichwa, etc lakini hapo hapo hawataki, narudia HAWATAKI uwe na mchepuko na ukianza kuwazoea singo maza mtaani ndio kabisaa hawataki.

Hawataki uende kuangalia mpira bar lakini ukiangalia mpira nyumbani Ni maneno maneno yaani huwezi ku concentrate Simba wakifungwa na vijitimu vidogo.
 
Hitimisho:
Hawa viumbe huwa hawaeleweki wanataka nini
 
Wakuu heshima zenu kuna jambo hapa iko hivi. Maisha ya wanawake naona km wao wana mambo mengi wanayofanya kila siku tena mara nyingi zaidi ya wanaume.

Namba tatu (3) sina uhakika sana ila wanawake kongole kwao wanachangamsha ulimwengu toka kwa enzi za mzee Adam

MAMBO HIZO NI KAMA-
1. kuongea maneno mengi sana kwa siku

2. kubadili nguo zaid ya mara tatu kwa siku

3. Kwenda chooni mara nyingi zaidi

4. Kuomba misaada ( pesa, kusindikizwa, kubeba n.k)

5. Kula/kutafuna misosi mara nying zaidi

6. Kujiangalia/kujikagua ktk kioo

7. kuoga oga

8.

9.
Masanja ndo wakulaumiwa angekuwa anajituna vizuri asingechapiwa na hiz mada zisingekuwepo.

Cc mpwayungu village
 
Back
Top Bottom