kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  3. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

  4. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  5. JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zinakopatikana khanga za Mombasa

    Habari wakuuu! Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae. Kwa aliyepo Dar es salaam ni vizuri zaidi.
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

    Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa linapaswa kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye michakato ya uchepukaji kila mwaka

    Amani iwe nanyi Ukiutafakari uchepukaji kwa makini ni reflection ya maendeleo, je uwekwe kwenye criteria za kupima maendeleo ya kaya? Baada ya kujiuliza hilo swala, mchakato wa uchepukaji una gharama kwenye household income and expenditure. Je hakuna sababu za ku establish total cost incurred...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mkali mwingine wa kuzalisha songs za EDM kama Alan walker

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Habari za Muda huu wana JamiiForums. Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu. Suala la Umasikini na Utajiri. Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gesti / Loji ambazo zipo / zitakuwa Wazi leo kwani za huku nilipo kwa 100% zote zimeshajaa hadi Easter Monday

    Kama utabahatika kupitapita huko uliko (Eneo lako Kimakazi) na ukaona kuna Guest au Lodge ziko wazi tafadhali nijulishe haraka GENTAMYCINE kwa Kunitajia Jina na iliko ili nimpeleke Mgeni wangu katoka Safarini nchini Somalia akapumzike. Za huku niliko tokea Ijumaa Kuu hadi Kesho Easter Monday...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  15. JamiiForums Tanzania Kujua kupiga Saxophone kulivyonifanya nichakate wanawake wa kila aina,

    Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda. Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake. Kuna rafiki yake na mzee wangu alikuwa kwenye brass band ya JWTZ miaka ya nyuma akaacha saxophone yake nyumbani akaenda...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  17. JamiiForums Tanzania Unakuwa na mahusiano na mwanamke mpaka unawaza kuoa unakuja kujua baadae kuwa ulikuwa unaingia chaka, weka kisa

    Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani. Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za Kulambisha Asali zinaangamiza Taifa bila kujua

    Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo. Bei za vitu zimepanda sana na Serikali imelala. Wapambe wanahakikisha Rais hajui mambo ya nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…