kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Habari wana FF. Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years. Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia na mpenzi wake. Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba...
  3. Master sempaya

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa Kumtoa Mtu kwenye Orodha ya wanufaika wa Bima ya Afya

    Ukiwa mwanachama wa bima ya afya umewaunganisha baba, mama na watoto ikatokea mume au mke mmeachana ukataka kumtoa kwenye mfumo wa bima mbona wanakata mpaka uende mahakamani uape. Hapo vipi?
  4. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua App nzuri ya Mazoezi

    Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home. Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha. Yanga Bingwa CAFCCC
  5. T

    JamiiForums Tanzania Cocacola ya Ulaya ladha yake ni tofauti na za kwetu? Na iphone zao hazina line?

    1. Kwanini soda za pepsi na cocacola kule Majuu Yani Ulaya (sijajua kama ni nchi zote) eti ladha yake ni tofauti na za kwetu hapa bongo 2. Kwanini pia iPhone za hapa Bongo eti pia ni tofauti na za majuu ( kwao eti hazina sehemu ya kuwekea Laini😲) 3. Pia tekno za kwetu ni tofauti na za kwao...
  6. MTINGIJOLI

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  10. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua dini ya Kiafrika, nijiunge nayo

    Salam! Mimi ni Muumini wa uwepo wa Mungu. Lakini pia huamini dini ni njia ya kumfuata huyo Mungu. Na kila mazingira huwa na dini yao. Waarabu wana Uislam wao, Wayahudi wanayo yao, Wachina wanayo yao. Naombeni ya kwetu Waafrika au hata Watanzania ili niungane nayo!
  11. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua friji la mtumba Mwanza?

    Wakuu bila kuwapotezea muda naomba kujua chimbo ambalo naweza kupata friji za Mtumba imara kwa hapa Mwanza. Asanteni.
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati. Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa...
  13. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  14. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
  16. jastertz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  17. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

  18. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
Back
Top Bottom