kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

    Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
  2. JamiiForums Tanzania CCM haina wanachama milioni 13

    Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13. Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika. Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Sugu awaomba CHADEMA kuiunga mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais

    Wakuu Ni kweli Sugu amesema CHADEMA iwaunge mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais au ni uzushi? mwenye ukweli wa wa hizi taarifa naomba msaada.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 KISHOA: Najilaumu nilichelewa wapi kujiunga CCM

    MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA. Soma pia: Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16 Chanzo: Daily News...
  5. JamiiForums Tanzania Blessing in Disguise : Kuifungia Jamiiforums Serikali tumeharibu zaidi. Tumempiga Chura Teke

    Nimesikitika sana watu ndo kwaaanza wanataka jiunga JF. Kuna group letu tupo watu 970 watu wameomba kujua hiyo JF ni nini. Na haraka wamejiunga baada ya kupewa VPN bure kwenye group mtu anajichagulia tu a install ipi. Nipo Ughaibuni naona nako kuna watu wanataka kuijua hiyo JF. Kifupi hesabu...
  6. JamiiForums Tanzania TCU: Waombaji 146,879 wametuma maombi ya kujiunga Vyuo Awamu ya Kwanza ya Udahili wa Shahada ya Kwanza

    TAARIFA KWA UMMA KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 1.0 KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA YA UDAHILI 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wa Elimu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wanaotarajia kujiunga na vyuo vya afya

    Kwa wanafunzi wanaotarajia kwenda vyuo vya AFYA , Kuna set ya vifaa vya kujifunzia inauzwa bei nafuu , Mikocheni DSM Tuwasiliane
  8. JamiiForums Tanzania TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  9. JamiiForums Tanzania Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  12. JamiiForums Tanzania WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wa Shaba waaswa kujiunga na vikundi kunufaika na fursa za maendeleo

    Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
  15. JamiiForums Tanzania Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kupangia watoto waliomaliza kidato cha nne kujiunga na vyuo

    Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujiunga na Vyuo vya Uvuvi kama Mbegani-Bagamoyo na Nyegezi-Mwanza

    Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
  19. JamiiForums Tanzania Shule msingi za EM(English Medium?)zaanza kufwata watoto wafanyishwa mitihani ya kujiunga secondari hizo.

    Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora. Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema. Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…