Nawezaje kujiunga Telegram?

Nawezaje kujiunga Telegram?

Kwangu kuirudisha namba ilikuwa ngumu kupata text ya verification. One time usiku mkali, nilijaribu tena ikakubali

Ila mwanzoni hata VPN haikunisaidia
 
Jaribu mara kibao mwishowe itakubali, au jaribu usiku mkubwa.
 
Mi pia leo nime download Telegram lakini naambiwa lipia 3300 kwa wiki moja. Dah na hapo hadi uwashe vpn, je inawezekana bila kulipia?
 
Back
Top Bottom