Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio kubwa nchini hususan kwa vijana.
Akizungumza katika Maadhimisho hayo Septemba 10, 2025 katika...
Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua.
Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
Mwanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro (KICHAS), Erick Sawe(21) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga chooni katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la Kiriwa chini, Kata ya Rau Manispaa ya Moshi, huku chanzo cha kifo hicho kikidaiwa ni wingi wa madeni.
Mwanafunzi huyo wa mwaka...
Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa.
Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.
https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1
Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
Nimeandika nyuzi kadhaa hapa JF katika kipindi hiki Cha mwaka 2025 mwezi march, Ila sikuwahi kuandika chochote before.
Kiukweli kilichonileta huku kwa namna ya mwandishi badala tu ya kua mfwatiliaji wa nyuzi za watu kama nilivokua hapo kabla ni upweke.
Leo nimefikiri kua niandikie kitu Cha...
Habari wakuu
Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi
Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee
Hii ni changamotoo wakuuu
Karibuni kwa maoni
Inasikitisha sana kusikia kesi za watu wanaojiua, ama kwa kunywa sumu, kwa kujinyonga, kwa kujipiga risasi au kwa kujitupa chini kutoka ghorofani. Wanaofanya hivyo huwa wanafikiri kwamba wakijiua ndio watapumzika tabu zao. Wanafikiri kujiua ndio mwisho wa kero walizo nazo. Wanadhani wakijiua...
Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa.
Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio na wabunge 275 kura ya hapana.
Huo muswada unapelekwa kwenye House Of Lord ili kupishwa kuwa sheria...
Wanaukumbi.
CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua."
Kuongezeka kwa viwango vya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi hao kunaonyesha hali mbaya ya kisaikolojia inayowapata wale waliohusika katika mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza.
Wachinjaji...
Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote
Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea
Nimepoteza...
Sean "Diddy" Combs ameripotiwa kuondolewa kwenye uangalizi wa kujitoa uhai huku akiendelea na maandalizi ya kesi yake ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya biashara ya ngono. Kwa mujibu wa wakili wake, Diddy yuko "imara na amewekeza muda mwingi kwenye utetezi wake."
Diddy, ambaye yupo kwenye...
Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
Aisee Hali kwa Vijana wa kiume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea Magonjwa ya akili.
Kufuatia Utafiti huu,ni vyema Serikali ikaajiri wanasaikolojia na kuwasambaza mashule I na...
Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu.
Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa..... www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/
Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.