Ripoti ya Haki za Binadamu 2023: Watu 57 walijiua, wengi wao ni wanaume vijana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,264
52,202
Aisee Hali kwa Vijana wa kiume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea Magonjwa ya akili.

Kufuatia Utafiti huu,ni vyema Serikali ikaajiri wanasaikolojia na kuwasambaza mashule I na Vyuo Ili kuwasaidia Vijana kukabiliana na mawazo hasi.hasa pale ambapo matarajio Yao hayajafikiwa.

Miaka michache ijayo huenda jambo hili likawa janga la kijamii Kwa sababu Hali za kimaisha zinazidi kuwa ngumu na matarajio hayatokei kama ambavyo walitarajia pindi kabla hawajaanza maisha ya kujitegemea.

My Take
Wanaume ni mbegu inahitaji kutunzwa vizuri Ili izalishe , vinginevyo social crisis inakuja .Pia soma Kwanini Wanaume ndio wanaongoza kwa kujinyonga? Case Study ya Marekani

---
Ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2023 iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu inaonesha matukio ya watu kujiua yameongezeka kwa mwaka 2023. Ripoti inaonesha wakati kwa mwaka 2022, watu 22 walijiua kwa mwaka 2023, Kituo kilirekodi matukio 57 ya watu kujiua.

Sehemu kubwa ya waliojiua ni vijana wa umri kati ya miaka 18 mpaka 35 ambapo walikua asilimia 46, huku ikifuatiwa na watu wenye umri miaka 36 mpaka 59 ambapo walikua asilimia 27.Kwa ujumla asilimia 71 ya matukio ni watu wenye umri chini ya miaka 35.Ripoti inaeleza zaidi kuwa sehemu kubwa ya watu waliojiua ni wanaume, hasa vijana.

Uchambuzi wa ripoti hiyo unaonesha watu walijiua kwa sababu mbalimbali ikiwemo madeni, kutelekezwa, kukosa ada, kuiga matukio kutoka katika filamu za kuigiza, mapenzi, ukali wa wazazi, wivu, kuachishwa kazi na ugumu wa Maisha.

Ripoti inahusisha matukio haya na suala zima la afya ya akili. Huku ikieleza baadhi ya changamoto kama kukosa ajira na makuzi katika familia kuwa mizizi ya matatizo haya.

Ripoti inaonesha baadhi waathirika hutokea katika familia ambazo wazazi wao wameingia katika majukumu ya familia wakiwa hawajapevuka na hivyo kupata msongo ambao husababisha watoto wanaowalelea pia kuathirika moja kwa moja.
 
Kiukweli life span ya wanaume imeshuka sana hapa Tanzania (sijui ni dunia nzima), mbali na vifo vya kujiua, hata vifo vya kawaida vingi ni vya vijana. Something needs to be done.
 
Tanzania hii life span haijashuka maana Wala haihusiani na kujitoa roho.
 
Aisee Hali kwa Vijana wa kiume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea Magonjwa ya akili.

Kufuatia Utafiti huu,ni vyema Serikali ikaajiri wanasaikolojia na kuwasambaza mashule I na Vyuo Ili kuwasaidia Vijana kukabiliana na mawazo hasi.hasa pale ambapo matarajio Yao hayajafikiwa.

Miaka michache ijayo huenda jambo hili likawa janga la kijamii Kwa sababu Hali za kimaisha zinazidi kuwa ngumu na matarajio hayatokei kama ambavyo walitarajia pindi kabla hawajaanza maisha ya kujitegemea.

My Take
Wanaume ni mbegu inahitaji kutunzwa vizuri Ili izalishe , vinginevyo social crisis inakuja .Pia soma Kwanini Wanaume ndio wanaongoza kwa kujinyonga? Case Study ya Marekani

---
Ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2023 iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu inaonesha matukio ya watu kujiua yameongezeka kwa mwaka 2023. Ripoti inaonesha wakati kwa mwaka 2022, watu 22 walijiua kwa mwaka 2023, Kituo kilirekodi matukio 57 ya watu kujiua.

Sehemu kubwa ya waliojiua ni vijana wa umri kati ya miaka 18 mpaka 35 ambapo walikua asilimia 46, huku ikifuatiwa na watu wenye umri miaka 36 mpaka 59 ambapo walikua asilimia 27.Kwa ujumla asilimia 71 ya matukio ni watu wenye umri chini ya miaka 35.Ripoti inaeleza zaidi kuwa sehemu kubwa ya watu waliojiua ni wanaume, hasa vijana.

Uchambuzi wa ripoti hiyo unaonesha watu walijiua kwa sababu mbalimbali ikiwemo madeni, kutelekezwa, kukosa ada, kuiga matukio kutoka katika filamu za kuigiza, mapenzi, ukali wa wazazi, wivu, kuachishwa kazi na ugumu wa Maisha.

Ripoti inahusisha matukio haya na suala zima la afya ya akili. Huku ikieleza baadhi ya changamoto kama kukosa ajira na makuzi katika familia kuwa mizizi ya matatizo haya.

Ripoti inaonesha baadhi waathirika hutokea katika familia ambazo wazazi wao wameingia katika majukumu ya familia wakiwa hawajapevuka na hivyo kupata msongo ambao husababisha watoto wanaowalelea pia kuathirika moja kwa moja.
Na bado sana Watu watajiuwa wengi wewe unga mkono ujinga wako wa kodi ya mama ntilie ipasishwe bungeni. hali izidi kuwa ngumu kwa watu wa kipato cha chini inaonyesha weweni mtu wa Serikali unaunga mkono hoja pumba za baadhi ya Wabunge.
 
Aisee Hali kwa Vijana wa kiume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea Magonjwa ya akili.

Kufuatia Utafiti huu,ni vyema Serikali ikaajiri wanasaikolojia na kuwasambaza mashule I na Vyuo Ili kuwasaidia Vijana kukabiliana na mawazo hasi.hasa pale ambapo matarajio Yao hayajafikiwa.

Miaka michache ijayo huenda jambo hili likawa janga la kijamii Kwa sababu Hali za kimaisha zinazidi kuwa ngumu na matarajio hayatokei kama ambavyo walitarajia pindi kabla hawajaanza maisha ya kujitegemea.

My Take
Wanaume ni mbegu inahitaji kutunzwa vizuri Ili izalishe , vinginevyo social crisis inakuja .Pia soma Kwanini Wanaume ndio wanaongoza kwa kujinyonga? Case Study ya Marekani

---
Ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2023 iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu inaonesha matukio ya watu kujiua yameongezeka kwa mwaka 2023. Ripoti inaonesha wakati kwa mwaka 2022, watu 22 walijiua kwa mwaka 2023, Kituo kilirekodi matukio 57 ya watu kujiua.

Sehemu kubwa ya waliojiua ni vijana wa umri kati ya miaka 18 mpaka 35 ambapo walikua asilimia 46, huku ikifuatiwa na watu wenye umri miaka 36 mpaka 59 ambapo walikua asilimia 27.Kwa ujumla asilimia 71 ya matukio ni watu wenye umri chini ya miaka 35.Ripoti inaeleza zaidi kuwa sehemu kubwa ya watu waliojiua ni wanaume, hasa vijana.

Uchambuzi wa ripoti hiyo unaonesha watu walijiua kwa sababu mbalimbali ikiwemo madeni, kutelekezwa, kukosa ada, kuiga matukio kutoka katika filamu za kuigiza, mapenzi, ukali wa wazazi, wivu, kuachishwa kazi na ugumu wa Maisha.

Ripoti inahusisha matukio haya na suala zima la afya ya akili. Huku ikieleza baadhi ya changamoto kama kukosa ajira na makuzi katika familia kuwa mizizi ya matatizo haya.

Ripoti inaonesha baadhi waathirika hutokea katika familia ambazo wazazi wao wameingia katika majukumu ya familia wakiwa hawajapevuka na hivyo kupata msongo ambao husababisha watoto wanaowalelea pia kuathirika moja kwa moja.
Duu
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1791710851436548201?t=kX1L5pDKSaChYcTaUKlowQ&s=19
 
Back
Top Bottom