kujiua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Hakimu adaiwa kujiua akiwa 'Guest House' Sumbawanga

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani...
  2. BARD AI

    Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

    Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT, Osea Kashiririka (21) amefariki dunia baada ya kujipiga risasi sehemu ya shingo kwa kutumia bunduki. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Issango amesema tukio hilo limetokea leo Jumatatu Novemba 28 majira ya saa 5:30 asubuhi maeneo ya Benki ya Azania jengo...
  3. aliyetegwa

    Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

    Habari wakuu, Iko hivi alikuwa ni kijana nadhifu, mchangamfu na kikubwa mwenye uwezo mkubwa darasani. Baada ya harakati za masomo alimaliza shahada yake ya kwanza 2014. Kwa kipindi cha karibia miaka nane hakupata kazi ila alichakarika haswa kwa kufungua genge na kuhudumia familia kwa kazi hiyo...
  4. Lycaon pictus

    Kwanini kujiua ni kosa kisheria?

    Leo tarehe 10/10 ni siku ya Afya ya akili duniani. Moja ya sababu kubwa ya watu kujiua ni matatizo ya Afya ya akili. Na mgonjwa wa akili hatendi kosa zaidi ni anahitaji msaada wa matibabu. Sasa nini kilipelekea Tanzania kuunda sheria kuwa kujiua(Kujaribu kujiua) ni kosa kisheria? Hii sheria...
  5. BARD AI

    WHO: Afrika inaongoza kwa idadi ya watu wanaojiua duniani

    Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za hatari zinazohusiana na vifo hivyo Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti Bara la amesema...
  6. MK254

    Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

    Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema... Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
  7. Hashpower7113

    Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

    Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke...
  8. Mtu Asiyejulikana

    Tuwaalike JF hawa Watu wenye Changamoto za Mapenzi kabla Hawajaua au Kujiua

    Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo. Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo. Hata...
  9. Amani Ne

    SoC02 Visa vya watu kujiua: Sababu kuu na ushauri wa nini kifanyike

    Utangulizi Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
  10. JanguKamaJangu

    Daktari: Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe

    Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba na kuondoa tatizo hilo kwa jamii. Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Huduma ya Ubora wa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili Mirembe, Dk. Minael...
  11. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

    Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi. Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi...
  12. 2Laws

    SoC02 Kwanini Wanaume wanaongoza kwa kujiua?

    UTANGULIZI "Kila mwaka watu 703,000 wanajiua idadi ya wanaume ikiwa mara tatu ukilinganisha na wanawake" (Shirika la afya Duniani) Pamoja na kuwa baadhi ya jamii zinaamini mwanaume kujiua ni hatua ya ujasiri; Mkazo/Msongo wa mawazo,Kukosa kazi,Kutengwa/Unyanyapaa,mizozo ( hasa katika...
  13. Mpwayungu Village

    Mahakama nchini Kenya yatupilia mbali hoja za Raila Odinga

    Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi. Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate...
  14. S

    Watoto Kujiua tatizo ni nini?

    Safari Ya Maisha | Maisha Hayawezi Kuwa sawa | JE NI SAWA | Mwandishi Wa nakala ya safari Ya maisha anauliza | tatizo ni nini hasa je ni deko | au kutokukomaa kwa nafc na yale tunayopitia ? | malezi ya wazazi | kuiga katika mitandao | mihemko ? | Msongo wa mawazo | au tatizo ni nn hasa |...
  15. kyagata

    Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

    Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na...
  16. NetMaster

    Share hapa ushuhuda kama uliwahi kufikiria / kujaribu kujiua na ulichojifunza kinachoweza kusaidia wengine

    Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua. Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
  17. Miss Zomboko

    Fahamu sababu zinazopeleka Watu kujiua au kujaribu kujitoa uhai

    Matatizo ya Afya ya Akili: Watu wengi hufanya maamuzi ya kujaribu kujiua baada ya kupatwa na Msongo wa Mawazo au Sonona. Msongo wa mawazo unaweza kuleta maumivu makali ya kihisia Kupitia Matukio mabaya: Mtu ambaye amepitia matukio mabaya ikiwemo Ukatili Utotoni, Ubakaji, Unyanyasaji wa kimwili...
  18. mwanamwana

    Mwanaume ajinyonga hadi kufa golini. Aacha chupi ya kike pembeni

    Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye goli la kuchezea mpira wa miguu wa kijiji hicho huku pembeni akiwa ameacha nguo ya ndani ya kike. Mwenyekiti wa kijiji cha Mawindi Kata ya Igima, Elias...
  19. Sema Kimeumana

    Chanjo ya UVIKO-19: Wasiotaka kuchanjwa wafunguliwe kesi ya kutaka kujiua

    Wadau, Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma...
  20. La Quica

    Mama achinja wanea wawili na kisha kujiua.

    Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu amewachinja watoto wake wawili kwa kisu kisha yeye mwenyewe kujiua. Zaidi tazama video. 👇
Back
Top Bottom