kujiua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Kiongozi wa zamani wa Bolivia ajaribu kujiua akiwa Gerezani

    Rais wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada ya kufunguliwa mashtaka ya "mauaji ya halaiki" kutokana na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mwaka 2019. Mmoja ya mawakili wa Anez, Jorge Valda, amesema kiongozi huyo wa zamani ambaye...
  2. R

    Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

    Simple logic inaniongoza hivi: 1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained. 2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated 3. And to...
  3. Kasomi

    Alex Korosso afa na hela za kikundi cha Uigizaji

    Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) bwana Chiki mchoma Amesema Alex Korosso maarufu kama Simba ambaye amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kumuua kijana mmoja aitwaye Gift kwa kumpiga risasi alikuwa mtunza hazina wa kikundi hicho cha Waigizaji- Tanzania kilichopo Dar es Salaam...
  4. Midnight

    Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

    Pumzika kwa amani ndugu Jonathan, member na mwanachama mkongwe wa JF. Kwa wapenzi wa jukwaa la biashara kule kuna mtu mmoja najua mtamkosa sana, muhimu ni kutambua kuwa sisi ni mapito na duniani tunapita tu. Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye...
  5. beth

    Utafiti: Wagonjwa waliokaa ICU wapo kwenye hatari ya kujidhuru na kujiua

    Utafiti uliofanywa na Watafiti kutoka Ottawa umebaini kulazwa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) huongeza hatari ya Mtu kutaka kujiua au kujidhuru baadaye. Imeelezwa, kitendo hicho kinaweza kuwaathiri Wagonjwa kwani kukaa Hospitali wiki au miezi kadhaa kisha kupitia kupindi cha uponaji ili mwili...
Back
Top Bottom