kujisajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    BASATA: Mwisho wa Ma-DJ, na MC kufanya kazi bila kujisajili ni Januari 31, 2026

    TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali...
  2. Waufukweni

    BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa. BASATA imeelekeza wahusika wote...
  3. Manyanza

    Hii fomu ya kujisajili na CCM mbona kama inasomana na NIDA?

    Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
  4. G

    Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  5. O

    itle Replies Views Date TUNAFANYA APPLICATION YA AVN NUMBER ,HELSB NA VYUO. THE ONLINE STATIONARY nitext kupitia 0622569980

    Habari, tunafanya huduma zifuatazo
  6. Just Pray

    Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  7. mutu murefu

    Utaratibu wa kujisajili kama “Project and Research Consultant”

    Habari za jioni, natumaini mko salama. Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na wananilipa vema. Lakini malipo hayo hayajawahi kukatwa kodi maana nilikua nafanya kama hobby tu, ila...
  8. O

    APPLICATION YA AVN NUMBER , LOSS REPORT, HELSB NA CHUO. RESEARCH REPORT CORRECTION AND WRITTING, KUJISAJILI KWA AJILI YA TIN NUMBER JOIN WATSP GROUP:

    https://chat.whatsapp.com/KA3AX3bEdT55pjq7Ws2yCL
  9. R

    Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  10. DexterLab

    Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  11. Kabelwa

    Msaada kujisajili X(Twitter)

    Ndugu naomba msaada wa jinsi ya kujisajili kwenye mtandao X(Twitter) kila nikijaribu kujisajili inagoma,asante.
  12. BARD AI

    Wakusanyaji na Wachakataji wa Taarifa Binafsi Tanzania watakiwa kuanza kujisajili kwenye Mfumo wa Tume

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
  13. D

    Gharama ya kusajili mtahiniwa binafsi kidato cha nne ni kubwa mno

    NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa. Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?. Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
  14. B

    Msaada: Napata tatizo kila nikijaribu kujisajili MCT

    Habari ya muda huu Wana JF, Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information baada ya kuzijaza inaandika.. ERROR; Your registration number does not match with the end year of study...
  15. M

    Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

    Habari wapendwa, Hivi kujisajili taesa inakuaje au sasa hv mfumo haufanyi kazi? Maana toka juzi nahangaika kujisajili haifiki popote ina search kwa muda mrefu inaandika tu contacting website again nakuendelea ku load tena na tena mwishowe inaandika Google couldn't reach the internet. Sasa...
  16. Erythrocyte

    Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital) Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
  17. Action and Reaction

    Msaada: Badala ya kujisajili kama local Undergraduate Applicant, kajisajili kama post graduate applicant

    Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application. Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
  18. og master plan

    Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
  19. JamiiForums

    Jinsi ya kujisajili kuwa mwanachama wa JamiiForums.com

    Habari, Kama bado sio Mwanachama wa Jamiiforums unaweza kujisajili kwa kufuata hatua hizi chache na rahisi zifuatazo: 1. Pakua App ya Jamiiforums kwenye kifaa chako (Simu au Kompyuta) Katika hatua hii unatakiwa kupakua App ya Jamiiforums na ku-Install ndani ya kifaa chako. App hii utaipata...
Back
Top Bottom