Msaada: Badala ya kujisajili kama local Undergraduate Applicant, kajisajili kama post graduate applicant

Action and Reaction

JF-Expert Member
Oct 16, 2021
1,355
1,411
Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application.

Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
 
IMG_5402.png

hapo Mwanzoni kabisa nahisi abonyeze hicho kitufe cha reverse my application
 
Hapo solution uwezi ipata stationary yeyote Tanzania hapo akuna namna kama upo dar fika ofisini au fika ofisi yoyote ya Kanda uliyo karibu wewe wao watawasiliana na makao makuu itairekebisha chap kwa simu autofanikiwa
 
Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application.

Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
Hii hadi uende makao makuu. Kama upo dar nenda makao makuu, Temeke, Veterinary. Kama upo mkoani ninaweza kukusaidia ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom