kujifungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinapelekea mwanamke kujifungua kwa operation

    Habari wanaJF Wapo wanawake ambao hujifungua kwa njia ya kawaida ila kuna wengine hujifungua kwa operation nini kinapelekea wanawake kujifungua kwa operation? Kwa wajuzi mnaweza mkatiririka
  2. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Msongo wa Mawazo na Unyogovu baada ya mjamzito kujifungua

    Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina elimu ya utambuzi kuhusiana na hili zamani lilijulikana kama swala la kawaida tu mwanamke kuparta...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumpa mimba mke miezi miwili tu baada ya kujifungua na kupoteza mtoto?

    Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke? Karibuni wadau kwa elimu.
  5. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
  6. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepata changamoto ya kupumua na sauti haitoki punde baada ya kujifungua

    Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu wakati anajifungua hivyo ikapelelea akaongezewa damu. Baadae akaruhusiwa na kuna dawa tumepewa sasa...
  7. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua?

    Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ataka kumuua mtoto baada ya kujifungua ili kunusuru Ndoa

    Msichana mwenye umri wa miaka 19 alietambulika kwa jina la Rehema Erick Mkazi wa Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi ameingia matatani kwa kujaribu kumuua mtoto wake kwa kumtupa chooni baada ya kujifungua ili kulinda ndoa yake isivunjike. --- Msichana mwenye umri wa miaka 19...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Binti ajaribu kuua kichanga baada ya kujifungua akiwa chooni, akihofia kuachika

    Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio. Rehema akiwa katika hospitali hiyo...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Muda wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua

    1. Hili ni tatizo ambalo linawapata wanawake wengi ambapo hawajui ni mda gani na wakati gani waanze kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua, wengine wanakaa mda mrefu wengine mfupi ila kadri ya wataalamu wanashuri kuwa Mama anaweza kuanza kufanya tendo la ndoa baada ya wiki sita au siku...
  11. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kuongezewa njia wakati wa kujifungua

    Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa kuchanika. Mama mjamzito ataongezewa njia ili kumlinda mtoto, ikiwa mtoto ametanguliza uso, makalio au...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua, wakwama kuendelea na masomo

    Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP). Msimamizi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima...
  13. naahjay

    JamiiForums Tanzania Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi. Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa. Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na...
  14. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Nyonga ya Mama kukosa uwiano na kichwa cha mtoto wakati wa kujifungua

    Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la...
  15. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Njia ya uzazi kutokufunguka wakati wa kujifungua

    Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation): Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia inapofunguka inapimwa kwa sentimita. Ikiwa njia imefunguka kabisa kikamilifu inatakiwa kupanuka kwa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mwaka 2022/23 Wajawazito 943 walifariki dunia wakati na baada ya Kujifungua

    Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni, Waziri Ummy Mwalimu amesema kwa mwaka 2022/23 jumla ya Wanawake 2,028,151 (98%) walihudhuria Kliniki kwa mara ya kwanza kulinganisha na Wajawazito Milioni 1.5 wa mwaka 2022. Pia, amesema kwa upande wa Huduma za Wakati na Baada ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

    Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena. Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa mayai wakati wa ujauzito husababisha kujifungua watoto wenye vichwa vikubwa au wasio na nywele

    Wanawake wajawazito hupewa tahadhari au hata hukatazwa kabisa kufanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaepushia madhara yanayoweza kuhatarisha afya zao, pamoja na mtoto aliyeko tumboni. Miongoni mwa mambo yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu ni kuzuia wanawake wajawazito kutumia mayai...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Aina ya matunda muhimu kiafya kwa Mjamzito

    Vitamini unazotumia kabla ya kujifungua zina virutubisho vingi mtoto wako anavyohitaji, hivyo basi kuna umuhimu gani waa mama mjamzito kuangalia kwa makini lishe yake? Inaathiri afya ya mtoto wako maishani: Kila unachokula ukiwa mjamzito kinamuathiri mtoto na maisha yake kwa ujumla, hivyo ni...
  20. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kitendo cha Mwanamke kujisaidia wakati wa Kujifungua ni ishara kuwa alishiriki ngono kinyume cha Maumbile

    Mdau wa JamiiForums anaomba kufahamu kama kitendo cha mwanamke kujisaia wakati wa kujifungua huhusishwa na kushiriki tendo la ndoa kinyume cha maumbile. Ameuliza swali hii baada ya kuwepo wa sintohamu kubwa miongoni mwa watu ambapo baadhi husema ni jambo la kawaida huku wengine wakipinga...
Back
Top Bottom