Njia ya uzazi kutokufunguka wakati wa kujifungua

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation):
Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia inapofunguka inapimwa kwa sentimita. Ikiwa njia imefunguka kabisa kikamilifu inatakiwa kupanuka kwa sentimita 10.

Sababu zinazo pelekea njia kushindwa kufunguka ni pamoja na mikazo dhaifu, mtoto kuwa mnene, mtoto kutokutanguliza kichwa. mama kuwa na nyonga ndogo, na njia ya uzazi kuwa ndogo.


1684325422930.png



1684325301409.png
 

Attachments

  • 1684325410220.png
    1684325410220.png
    17.7 KB · Views: 19
Back
Top Bottom