Katavi: Binti ajaribu kuua kichanga baada ya kujifungua akiwa chooni, akihofia kuachika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio.

Rehema akiwa katika hospitali hiyo akipatiwa huduma ya matibabu alikwenda chooni kwa lengo la kujisaidia ndipo uchungu ukamkuta huko na kujifungua mtoto wa kiume akiwa mzima, ndipo akafanya jaribio la kumuua kwa kumuingiza kwenye tundu la choo na hatimaye akamuweka kwenye sinki la la maji na kumtelekeza hapo na kurudi wodini.

Imeelezwa kuwa Rehema aliondoka Katavi Augusti 2023 kuelekea Dar, akarejea Novemba 2023 ambapo Desemba 2023 alipata mchumba na kuolewa, hivyo alitoa mimba ili kuokoa ndoa yake na mumewe asijue kuwa alimuoa akiwa mjamzito.

Bibi wa kichanga hicho ambaye ni mzazi wa Rehema amesikitishwa na tukio hilo la mwanae kufanya uamuzi wa namna hiyo.

Dr Gloria Solo ambaye ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nsimbo amesema mtoto amekutwa amevunjwa miguu na majeraha mbalimbali katika mwili wake ambapo amesema hali ya mtoto inaendelea viziri huku Afisa Ustawi wa Jamii Telesis Mwendapole akieleza namna mtuhumiwa huyo alivyojaribu kuua kichanga chake.

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusufu amesema kitendo kimechofanywa na Rehema hakikubaliki ndani ya jamii ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria dhidi yake huku akisisitiza Wazazi na walezi kutowatuhusu Watoto wa kike kuolewa wakiwa na umri mdogo.
 
Litakuwa tatizo la akili limehusika.
Mimba zinavyotesa hivi uvumilie miezi 9 ili tu uje umuue mtoto?
 
Dada mwenyewe ana sura kauzu, shepu ndio usiseme, ngozi yake imekakamaa kama ya kiboko halafu analeta za kuleta. Kwa kitendo hicho tu huyo mshefa wake kama ana akili timamu amuache fasta
 
Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio.

Rehema akiwa katika hospitali hiyo akipatiwa huduma ya matibabu alikwenda chooni kwa lengo la kujisaidia ndipo uchungu ukamkuta huko na kujifungua mtoto wa kiume akiwa mzima, ndipo akafanya jaribio la kumuua kwa kumuingiza kwenye tundu la choo na hatimaye akamuweka kwenye sinki la la maji na kumtelekeza hapo na kurudi wodini.

Imeelezwa kuwa Rehema aliondoka Katavi Augusti 2023 kuelekea Dar, akarejea Novemba 2023 ambapo Desemba 2023 alipata mchumba na kuolewa, hivyo alitoa mimba ili kuokoa ndoa yake na mumewe asijue kuwa alimuoa akiwa mjamzito.

Bibi wa kichanga hicho ambaye ni mzazi wa Rehema amesikitishwa na tukio hilo la mwanae kufanya uamuzi wa namna hiyo.

Dr Gloria Solo ambaye ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nsimbo amesema mtoto amekutwa amevunjwa miguu na majeraha mbalimbali katika mwili wake ambapo amesema hali ya mtoto inaendelea viziri huku Afisa Ustawi wa Jamii Telesis Mwendapole akieleza namna mtuhumiwa huyo alivyojaribu kuua kichanga chake.

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusufu amesema kitendo kimechofanywa na Rehema hakikubaliki ndani ya jamii ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria dhidi yake huku akisisitiza Wazazi na walezi kutowatuhusu Watoto wa kike kuolewa wakiwa na umri mdogo.
Dah kampa mtoto ulemavu sasa!au miguu itakua imeteguka tu?wajuvi embu nielimisheni hapa!
 
Mimba zina tesa kweli au mabinti wa sikuizi wana jiregeza, Mama zetu wamezaa watoto zaidi ya watano na bado wapo fiti na wanachapa kazi za nyumba, kuchota maji, kulima na kupika ugali wa watu 15 kila siku.
 
Na imagine the way mtoto alivokuwa anateseka ktk jaribio Hilo la kutolewa uhai, anaumia tu hawezi kuongea Wala kujitetea,,daaa! Kuna wanawake katili San.

Alafu unauwa mtoto kutetea ndoa end the day unakuja kuachika.
 
Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio.

Rehema akiwa katika hospitali hiyo akipatiwa huduma ya matibabu alikwenda chooni kwa lengo la kujisaidia ndipo uchungu ukamkuta huko na kujifungua mtoto wa kiume akiwa mzima, ndipo akafanya jaribio la kumuua kwa kumuingiza kwenye tundu la choo na hatimaye akamuweka kwenye sinki la la maji na kumtelekeza hapo na kurudi wodini.

Imeelezwa kuwa Rehema aliondoka Katavi Augusti 2023 kuelekea Dar, akarejea Novemba 2023 ambapo Desemba 2023 alipata mchumba na kuolewa, hivyo alitoa mimba ili kuokoa ndoa yake na mumewe asijue kuwa alimuoa akiwa mjamzito.

Bibi wa kichanga hicho ambaye ni mzazi wa Rehema amesikitishwa na tukio hilo la mwanae kufanya uamuzi wa namna hiyo.

Dr Gloria Solo ambaye ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nsimbo amesema mtoto amekutwa amevunjwa miguu na majeraha mbalimbali katika mwili wake ambapo amesema hali ya mtoto inaendelea viziri huku Afisa Ustawi wa Jamii Telesis Mwendapole akieleza namna mtuhumiwa huyo alivyojaribu kuua kichanga chake.

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusufu amesema kitendo kimechofanywa na Rehema hakikubaliki ndani ya jamii ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria dhidi yake huku akisisitiza Wazazi na walezi kutowatuhusu Watoto wa kike kuolewa wakiwa na umri mdogo.
Umri mdogo ni upi? 19 years ni mdogo?
 
JESHI LA POLISI LIFANYE UCHUNGUZI
 
Back
Top Bottom