kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Milioni 550 Kujenga Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi ina...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia futa umaskini Tanzania kwa mapinduzi makubwa ya kilimo. Unaweza

    Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia bilioni 500 kujenga vituo vya kupoozea umeme

    Katika bajeti ya mwaka huu Serikali imetenge Shilingi bilioni 500 ambazo kupitia mradi wa Gridi Imara itajenga vituo vya kupooza umeme katika maeneo 13. nchini. "Kwenye maeneo yenye shida zaidi, tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita imetoa fedha kwa ajili ya kutekeleza mradi wa gridi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Barabara ya Musoma - Makojo - Busekera 2023/2024

    SERIKALI KUJENGA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA KWA AWAMU MBILI (Bajeti ya Wizara ya Ujenzi & Uchukuzi, 2023/2024) Urefu wa barabara Kilomita 92 Sehemu zenye lami Musoma Mjini-Buhare: km 5.9 (Eneo lote hili liko ndani ya Manispaa ya Mji wa Musoma) Kusenyi-Kwikonero: km 5 (Eneo lote hili...
  5. JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Jimbo la Igunga Sasa Kujenga Ofisi za CCM

    IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA". Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na zoezi la ujenzi wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Wanachama wa CCM Kata ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

    Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa 1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi 2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga satelaiti yake

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza mazungumzo kwa ajili ya ujenzi wa satelite. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa mradi wa minara ya kurusha matangazo ya Televisheni ardhini (DTT) inayomilikiwa na kampuni ya Azam Media Limited...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga majengo ya kuhifadhi na kuhudumia zana za BBT

    Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko. Ambapo utekelezaji wa mradi huo ni matokeo ya maagizo na maelekezo ya Mhe...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  13. JamiiForums Tanzania Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

    Ilikuwa ni mwezi february mwaka 2015 raisi Xi alipotangaza maono yake ya kujenga mji mpya mkubwa nchini China. Michoro na mipango yote ikakamilika mwaka 2017 na miaka sita imepita China wamekuja na mradi mkubwa wa kujenga mji mpya kabisa kutoka ardhini yaani "from scratch". Mji huo utatiwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo mawili ya kujenga Jamii Bora

    Jamii,ni jumla ya watu wote wanaoishi katika mazingira Fulani ya kijiografia ambao wanaweza kufanana au kutofautiana katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na kiteknolojia. Kujenga maana yake kutengeneza kitu ambacho kina faida na kutumika kipindi fulani Cha maisha mfano nyumba. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment)

    Habari za wakati, Ni matumaini yangu kwamba mu wazima na mnaendelea vyema katika utendaji wa shughuli zako na ujenzi wa nchi. Leo nimeleta mjadala mfupi kuhusu maneno ambayo tumezoea kuyasikia ambayo ni Venture Capital na Angel Capital.Ukifanya utafiti wa haraka wa google utaona maana ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  17. JamiiForums Tanzania Sekondari za Kata Zaendelea Kujenga Maabara Masomo ya Sayansi

    SEKONDARI ZA KATA ZAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina Sekondari za Kata 25 na za Binafsi 2. Jimbo hili limeamua kujenga Maabara 3 za Masomo ya Sayansi kwenye kila Sekondari ya Kata. Maabara hizo ni za Physics, Chemistry & Biology...
  18. JamiiForums Tanzania TANROADS: Serikali imetoa zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kuboresha barabara za Kigoma

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema Serikali imetoa fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara yenye jumla ya urefu wa Kilometa 420 zinazojengwa kwa kiwango cha lami kwa wakati mmoja mkoani hapo. Amesema: “Hiki kinachofanywa na...
  19. JamiiForums Tanzania Daraja jipya la Kiyegeya limejengwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo imetumika kujenga fly over ya Ubungo

    Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga. "Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Usiache Kujenga ukiwa na Nafasi iyo ila usiache Kuishi ili Ujenge

    Usiache kujenga ukiwa na nafasi iyo ila usiache kuishi ili ujenge, kuwa na kwako ni muhimu sana tena sana.. Pia biashara ya nyumba ni ya matajiri coz return yake inachukua muda mrefu mnoo na usijenge kutoa mkosi jipange have you're dream house. Ninakubali kwamba kuwa na nafasi yako ni muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…