kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijawahi kusikia hotuba yenye nguvu kama hii aliyotoa Malcom X

    Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii. Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
  2. F

    Natafuta mwanamke wa kuishi na kuwa mke baadaye

    Habarini mimi ni mgeni humu. Nimetokea kuupenda huu mtandao Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾 MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu Kabila: Mmeru Umri: 30 Dini: Mkiristo Elimu: La 7 Kazi: Kubeba...
  3. Unalijua kusudi lako wewe kuishi?

    Ikiwa una kusudi kubwa maishani, sio lazima uwe mtu wa kusukumwa sukumwa, bali shauku yako itakupeleka huko kwenye kusudi lako la kuishi. Ikiwa una nguvu ya kujua kwa nini unaishi, utapata maana katika kila pambano utakalo pambana nalo maishani mwako. Hukuzaliwa ili tu kula, kuzeeka na kufa...
  4. Kuishi Geita na Mara ni hatari kwa usalama wako na mali zako

    Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi. Kuishi Mara na...
  5. F

    Mbowe hujahudhuria uzinduzi wa ikulu mpya, who knows siku moja waweza kuishi Chamwino

    Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria. Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma. Hongera...
  6. R

    Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  7. Wanaume wenzangu njooni tuongee:- Mnawezaje kuishi na wanawake wenye midomo?

    INTRODUCTION:- Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE. Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO AISEEE. SCENARIO:- Jana ofisini (halmashauri) kulikua na mfululizo wa vikao. Kilianza kikao cha...
  8. Ukitaka kuishi maisha marefu usioe

    Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu. Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke Tsh. 300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara. Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani. Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke...
  9. Upo uwezekano wa binadamu wa sasa kurudi nyuma ya muda

    Peter Watson, aliyekuwa profesa wa Fizikia tangu mwaka 1984 katika Chuo Kikuu cha Carleton. Amefundisha zaidi ya kozi 25 tofauti, katika ngazi zote, na pia amesimamia wanafunzi wengi wa shahada ya uzamili na uzamivu. Kazi yake ya utafiti imekuwa zaidi katika fizikia ya nadharia, na amechapisha...
  10. Vijana wakiume wapewe Elimu ya kuishi na wanawake waliowezeshwa (Empowered women)

    Anaandika, Robert Heriel Ipo haja ya kuundwa Kwa program maalumu ya kuwapa Elimu vijana wakiume ya namna ya kuishi na Wanawake waliowezeshwa(Empowered women). Zamani tuliambiwa tuishi na Wanawake Kwa Akili Wakati Wanawake wenyewe hawakuwa Empowered, vipi sasa hivi wakiwa wamewezeshwa...
  11. Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

    Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
  12. Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi. Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye...
  13. SI KWELI Mwenye Seli Mundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30

    Hii imekaa vipi kitaalam, Mwenye Selimundu (Sickle Cell Disease) hawezi kuishi kwa zaidi ya miaka 30?
  14. Kosa langu ni kuamua kuishi maisha yangu

    Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga. Binafsi nimewahi kupitia changamoto za kukataliwa na watu wangu wa karibu. Kila nilipojaribu kuwa mwema kwao...
  15. Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

    Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
  16. Tuchague Ubepari au Ujamaa sababu hatuwezi kuishi katika itikadi 2 tofauti

    Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism. Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au...
  17. Usiache Kujenga ukiwa na Nafasi iyo ila usiache Kuishi ili Ujenge

    Usiache kujenga ukiwa na nafasi iyo ila usiache kuishi ili ujenge, kuwa na kwako ni muhimu sana tena sana.. Pia biashara ya nyumba ni ya matajiri coz return yake inachukua muda mrefu mnoo na usijenge kutoa mkosi jipange have you're dream house. Ninakubali kwamba kuwa na nafasi yako ni muhimu...
  18. Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  19. Hii nchi wanasiasa wanatuchezea, nimemua kuishi kivyangu na lolote litokeee wala sijali

    MSHAHARA WA WABUNGE HAUENDANI NA WANACHOKIFANYA BUNGENI. Na Thadei Ole Mushi. Ukiangalia Mshahara wa Mbunge na anachokifanya Bungeni vinatia Hasira Sometimes… Twende Sawa Rais Magufuli ndiye Rais aliyevunja Rekodi ya wabunge kuweka maazimio ya kumpongeza Bungeni. Maazimio ya mwisho mwisho...
  20. Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi 3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…