Sina raha ya kuishi, nasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi

Godlove 17

Member
May 7, 2023
29
66
Nina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
 
Kwa ufupi.
.Jaribu mazoezi kabla ya kulala,
.Zima taa kabla ya kulala,
.kula mapema masaa mawili kabla ya kulala, ikipendeza kula matunda usiku sio unashindilia vyakula vigumu(Makande,maugali,mawali)
.Kunywa chai yenye tumeric kabla ya kulala.
.Usitumie kahawa kabla ya kulala(Caffeine)
.Weka mazingira ya kulala bila kutumia nguvu nyingi epuka makelele na chochote unachojua kinakunyima usingizi vikiwemo msongo wa mawazo.

unaweza ukaanza kujaribu kimoja kimoja au ukafanya vyote in combination.
Goodluck
 
Asante Kwa ushauri
 
Hii ni nzuri sana kufanyika kwa pamoja. Ila pia kunahitajika kufanya tathmini ya nini hasa kilianzisha tatizo.

Kabla ya kupata shida husika kuna mabadiliko kwenye mwenendo wa MAISHA ulitokea hii pia isahihishwe na itasaidia kujiepusha na visababishi vinavyofanya kutokutoka huko au kutokupata ahueni.
Rudi nyuma miaka sita kuna yaliyotokea. Fanyia kazi, hata kuhusisha taaluma mbalimbali.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Nina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
Njoo inbox.
Hilo laweza kua tatizo la fya ya akili.
 
Jaribu kuepuka sehemu zenye makelele hasa wakati wakulala tumia matunda kama chakula cha usiku mazoezi kidogo na sala.
 
Njoo inbox.
Hilo laweza kua tatizo la fya ya akili.
Liweke wazi ili wengi wanufaike. Niliona clip Naibu Waziri wa Afya alisema Bungeni tuwasaidie kuwapeka hospital wanaosumbuliwa na ugonjwa wa akili, matibabu ni bure. Sina uhakika kama ile clip ni ya kweli au ni ya mchongo maana kuna wagonjwa hupelekwa Mirembe baada ya muda mfupi tunawaona tena mtaani kwetu na wanaendelea kutupa kisago!! Ni shidaaa! Kwa anaujua atujue kwa nini wanarudoshwa wakati bado hawajapona??!!
 
Kwa ufupi.
.Jaribu mazoezi kabla ya kulala,
.Zima taa kabla ya kulala,
.kula mapema masaa mawili kabla ya kulala, ikipendeza kula matunda usiku sio unashindilia vyakula vigumu(Makande,maugali,mawali)
.Kunywa chai yenye tumeric kabla ya kulala.
.Usitumie kahawa kabla ya kulala(Caffeine)
.Weka mazingira ya kulala bila kutumia nguvu nyingi epuka makelele na chochote unachojua kinakunyima usingizi vikiwemo msongo wa mawazo.

unaweza ukaanza kujaribu kimoja kimoja au ukafanya vyote in combination.
Goodluck
Afuate huu ushauri

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom