Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA""
Kwa jina hili...
Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara
Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
Kampuni ya mawasiliano ya Huawei ya China imesema itapeleka teknolojia yake ya 5G ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori mashuhuri barani Afrika huku kukiwa na vitisho vinavyohusishwa na shughuli za binadamu na mabadiliko ya tabia nchi
Huawei inasema teknolojia yake ya 5G na kamera za kisasa...
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa.
Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa.
Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030.
Utangulizi
Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa...
Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa?
12 Julai 2019
Imeboreshwa 25 Aprili 2021
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES
Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja kinaweza kuimarisha tendo la ndoa na kukuzidishia hamu, huenda kungekuwa na uhaba wa chakula hicho...
Na Fadhili Mpunji
Maonyesho ya pili ya biashara na uchumi kati ya China na Afrika yanaendelea kufanyika mjini Changsha, Hunan kusini mwa China. Maonyesho haya ni moja ya majukwaa muhimu ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, na ni fursa adimu inayotolewa na China kwa nchi...
Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika.
Demokrasia ya Tanzania
Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani.
Nasema hivi kwasababu, matmuzi ya jina hilo yanajenga inferiority complex miongoni mwa vyama vya upinzani na...
Salaam kwenu wananchi,
Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg.
Sasa nikimbie kwny mada fasta:
Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana.
Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba.
Amechezea...
Mara kwa mara kumekuwa na malalamiko makubwa saana kuhusu Mapungufu katika sector ya Afya hasa katika nchi zetu za Afrika {Sana sana katika nchi ziitwazo dunia ya Tatu (3rd world countries) Ambazo nyingi zipo katika kusini mwa jangwa la sahara}
Mapungufu hayo katika sector ya afya kwa sasa...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
baada
fedha
graph
hoja
jaji
kasi
katiba
katiba mpya
kelele
kodi
kuimarisha
kusaidia
mama samia
matatizo
mkono
mpya
nyumbani
rais samia
samia
samia suluhu
siku
siku 100
suluhu
uchumi
utawala
POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA.
Na mwandishi wetu- Dodoma
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, kwenye Ofisi za Mkuu huyo wa Mkoa, Jijini Dodoma.
Kikao hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.