Ipo haja ili kuimarisha muungano jina "chama cha mapinduzi"likabadilishwa.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,647
20,984
Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA""
Kwa jina hili pekee, Muungano wetu na umoja wetu na utaifa wetu utasimama katika mstari mmoja,hili likifanyika na maboresho mengine kidogo yakafanyika tutavuka kwa miaka mingi zaidi.
•Neno chama cha mapinduzi, pekee linautenga utaifa.
TUCHANGIE KATIKA KUBORESHA MUUNGANO WETU.
 
jina la Chama cha Mapinduzi lilibuniwa kupunguza munkari wa Waasisi wa Mapinduzi matukufu ya 1964

wao hata ukianza hutuba na kumaliza bila ya kutaja neno Mapinduzi huwa nongwa

Dr Salim Ahmed Salim moja yaliyomfanya atengwe ni tabia yake ya kutokatisha hotuba yake kwa maneno ya 'Mapinduziiiii daimaaaaa' akaonekana mpinga mapinduzi

kuifuta Afro shiraz Party kwa wahafidhina wa kiunguja halikuwa jambo jepesi jepesi

Let mend it with fire patch...!
 
MAZOMBIE kamwe hayatothubutu kushauri wala kutoa maoni ya jina hilo na mengine...kwasababu ya uoga na unafiki wao... chama cha hofu ya kuthubutu...ukithubutu unajadiliwa kwenye vikao

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ni jina lenye msingi mkubwa na mpana zaidi wa kiumoja zaidi na utaozika mambo mengi kabisa ya zamani ambayo hayana tija tena huku mbele tuendako! Tena tutaenda mbele tukiwa wamoja zaidi.
 
Hapana...
You are so bright,ni lazima upinge hili maana inatlkwenda kutengeneza DUBWANA kubwa kweli ambalo upinzani kuja kushindana nalo ni ngumu sana au hata kulingoa haiwezekani tena same tu CHINA CHAMA CHAO,lakini kwa Tanzania nalishauri hili. ""If we wishes to have a firmly political party""
 
Back
Top Bottom