kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  2. JamiiForums Tanzania Anaandika Jemedari Said kuhusu sakata la Simba

    Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI. Bahati mbaya sana nadiriki kusema wengi wanawatafsiri hawa watu TOFAUTI (Vice Versa) na ukweli ulivyo. Mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna nini kuhusu AI mfumo kuzibitiwa kama ukitoka nje ya USA hata ufanyeje unakataa kabisa

    Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM. Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu kufanyika nchi za watu na zimekuwa zikigoma kabisa na hata ukitoka nchi nyengine utapata matokeo tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Uliza Swali lolote kuhusu Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba (Herbal)

    Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa matabobi wakongwe . Nitakuwa nashare nanyi uzoefu na kutoa kozi fupi fupi za wanaopenda kubobea maeneo...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  6. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kumhusu Mtumishi Moses Kulola,Nini unafahamu kuhusu yeye?

    Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola, Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye alifanya mambo makubwa kipindi hicho, Kwa wewe ambaye ulikuwepo kipindi hicho ni nini uliwahi...
  8. JamiiForums Tanzania Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

    Kwamba masufuria yakusifiwa ukipikia chakula hayashiki chini yanaitwa non-stick yametengenezwa na chemical na material amabazo zikikaa kwenye joto Kali sana la moto linaachia sumu sijui inaitwa Teflon ambayo huwa chanzo Cha kansa. Kwa kuila ama kuivuta Kwa hewa. pia chanzo Cha matatizo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ulimwengu wa Roho: Siri 7 za Kichawi na Kiroho Kuhusu Paka

    Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi: Macho yao huona...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi katika Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama wamekuwa kero kwa Wananchi, tunaomba msaada

    Habari, Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama. Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
  12. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka SMZ, itoe ufafanuzi kuhusu usahihi wa gharama za Miundombinu ya AFCON Zanzibar

    Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutiwa baadhi ya posho kwa watumishi wa umma

    Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa ufundishaji katika chuo cha DIT

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata ujuzi unaostahili. Kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya walimu hawafundishi ipasavyo kwa kipindi...
  16. JamiiForums Tanzania JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
  17. JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole hapa Bongo hayafundishi tena kuhusu Mpinga Kristo & 666. Kulikoni?

    Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku! Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni. Leo...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa naye atupia lake neno kuhusu kauli ya Dr. Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane wapate Katiba Mpya

    https://www.youtube.com/watch?v=_BjgSiVTCP0
  19. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…