NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria?
2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
"Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano
IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini.
Hatuwezi fanya reconciliation...
Kila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
Wakuu habari zenu
Nawiwa kufanya sanaa ya kuigiza hapa nyumbani ( Bongo Movie). Hivyo naomba msaada kidogo kuhusu haya:
a. Nataka kujua kampuni nzuri ninayoweza kuitumia kushoot movie yangu kwa bajeti ndogo isiyozidi M.4 (Kwa anayejua tafadhali anijuze)
b. Natamani kutumia stori au hadithi...
Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki.
Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli.
Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika!
JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida.
Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali!
Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania.
Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇
Orodha ya...
Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani!
Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya waliokufa kwwnye maandamano ndio inamaanisha watu wanasherekea mauaji yaliyotokea?🤣🤣 Mwigulu...
Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa.
Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
Habari za wakati huu;
ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo nimewiwa kurejea na kuleta muendelezo wa mijadala yetu ya biashara na ujasiriamali nikiamini kwamba kuna...
Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno.
Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema:
"Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo kwa kujihusisha na vitendo vya kuharibu amani.
"Tumejipamga kuhakikisha usalama wa raia na mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.