kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Responded TANESCO: Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme Imalilo (Simiyu) umechelewa kwa sababu za Kiutendaji

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
  2. M

    Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  3. K

    Taarifa kwa Halmashauri zote kuhusu Hotel Levy

    Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe na taarifa hii msije mkawanyanyasa wafanyabiashara wasiojua taarifa hii. Nawasilisha.
  4. 90sgeneration

    Nishauri jambo kuhusu QT

    Wakuu habari zenu. Kuna binti alimaliza kidato cha nne 2022. Lakini alisoma Art subjects, sasa anatamani kusomea afya awe nurse. Sasa anauliza kama anaweza kusoma QT masomo ya science ili apate credit za masomo ya physics na chemistry na bios, japo biology alipata B kwenye matokeo yake ya fm4...
  5. Raia Fulani

    Kuhusu Bajeti Kuu, mmesikia tu deni la Taifa na ufafanuzi wa bajeti ya Tr 56?

    Habari za mchana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya. Kubwa ninalotaka kulisemea...
  6. itakiamo

    MX Carter ni Nani? Na Kwanini Wasanii Wanalalamika Kuhusu Dhuluma Zake?

    Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo. Kinachoshangaza...
  7. Fbn

    Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

    Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji. Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa. Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
  8. W

    Msaada kuhusu UTT , Treasury Bonds/Bills na Fixed deposit accounts

    Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000/= , natanguliza shukran.
  9. K

    Toa neno kuhusu hizi chipsi

    😁😁😃
  10. Fbn

    Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  11. M

    Biblia imeandika wazi kuhusu wajane na wagane kwelikweli. Si kama hawa wa siku hizi wahuni tu

    Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha. Kuna watu wanaoombaomba wanaviungo vyote,au wanaupungufu wa akili kidogo lakini unaona kunashida ktk...
  12. GENTAMYCINE

    Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  13. P

    JPM Aliona mbali kuhusu home shopping center,Karia hukuijua GSM Sasa ulinywe

    Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea. Watu wenye akili walitia...
  14. ngara23

    Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ? 1. Kuhusu suala la kuchinja. Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni...
  15. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  16. LIKUD

    Tohara kwa watoto wa kiume inavyo wajibu atheists kuhusu " The Problem of evil"

    ATHEISTS wana sema 👇👇👇👇 " Kama kweli Mungu anatupenda Sisi viumbe wake kwanini ameruhusu maumivu kwenye maisha ya watu? " KUHUSU TOHARA : Hakuna asie jua kwamba TOHARA ni suala lenye maumivu makali sana kwa watoto wa kiume. Licha ya kuwekewa ganzi etc lakini still bado TOHARA ina maumivu...
  17. Roving Journalist

    Mchungaji Hananja anajilipua kuhusu Gwajima, asema unapokuwa Kiongozi unatakiwa uwe na uvumilivu

    https://www.youtube.com/live/s50bQ_jh8Us
  18. Madwari Madwari

    Webinar kuhusu wanaotaka kusoma na kufanya kazi Ujerumani

    Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life in Germany to a thriving career in Europe. Learn firsthand about university life, application tips...
  19. stakehigh

    Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

  20. Mr Fan

    Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
Back
Top Bottom