kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jamani naomba msaada kuhusu maana ya majina haya kwa kiswahili

    Hii mimea kwa kiingereza 1.Unaitwa -chamomile 2.Unaitwa-nutmeg nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa. Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Spika Ndugai kuwalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, ni wakati wa wanasheria kumuelimisha kuhusu kutii Katiba bila shuruti

    Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia. Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji. Cha kushangaza Mwambe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Matamko ya viongozi kuhusu ajira hayatekelezwi

    Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo. Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu. Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu specifications za simu

    Habarini wakuu. Nimeibiwa simu yangu hivyo uamuzi niliochukua ni kutafuta nyingine kwani kuifatilia iliyopotea naona nitapoteza muda mwingi na hela nyingi... Nimeamua kutafuta simu nyingine ambayo bajeti yake haizidi 350k. Katika pitapita zangu mtandaoni nimevutiwa na VIVO Y20 ambayo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi kuhusu tatizo hili la e-mail naomba msaada!!!

    Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kusababisha mahari ya unayemuoa kuwa juu

    MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA Na, Robert Heriel Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu movie ya TENET

    WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
  9. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Habari wadau..! Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba. Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zanzibar kuahidiwa Meli nne za Uvuvi, kwanini pia wasipewe ndege?

    Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar. Sasa vipi...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu hivi vifaa vya kukuza screen ya simu

    Ni vizuri, yaani vinatoa picha Quality? Bei zake zinachezaje?
  12. JamiiForums Tanzania Dinasours special thead: unajua lolote kuhusu wanyama kale? Tupeane ujuzi.

    Moderator naomba rekebisha heading hapo juu sehemu ya { thead = thread}
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

    Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba habari kuhusu hii Mbeya kwanza. Iliyopanda ligi kuu.

    Imamilikiwa na nanni? Kocha wake nani
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa huishwa kuhusu kimbunga Jobo

  16. JamiiForums Tanzania Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  18. JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv za solar wakuu

    Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza. Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa majibu ya Maswali haya yahusuyo COVID-19

    Dah! Mnisamehe tu 1. Kama COVI-19 inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwa njia ya vitone vidogo vya majimaji vinavyotokana na kupiga chafya, kukohoa au kuongea naye. Kwanini marehemu anayedhaniwa alikufa kwa covid19 anaogopewa zaidi ya mtu aliyehai na hajapimwa? 2. Watu wawili, wanaishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…