kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

    Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu. Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko. Nafasi imechukuliwa na Kinana Membe karudishwa CCM === Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
  3. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

    Najua mambo kadhaa ikiwemo ; 1. Wanapenda amani na utulivu. 2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba. 3.Wanapenda sana kunyanduana. 4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa. 5.Hawapendi kufokewafokewa. 6.Ni greater thinkers. Unaweza kuongezea na wewe.
  4. JamiiForums Tanzania Fataawa Za Wanachuoni Mbalimbali Kuhusu Ramadhwaan

    Fatwa Kutoka: ‘Allaamah Swaalih Ibn Fawzaan Al-Fawzaan Swali: Tunataka uwape vijana Nasaha kuhusiana na kuchunga wakati wao katika Ramadhaan? Jibu: Waislamu wote sawa Vijana na wengine wote wanatakiwa kutumia wakati wao katika kumtii Allaaah – wala Ramadhaan isiwajie kwa ghafla, au ikawakuta...
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  6. JamiiForums Tanzania Unaelewa nini kuhusu waislamu wanapotamka neno 'Sunnah'?

    Katika Uislamu kuna elimu inaitwa Hadithi inarejelea kile ambacho Waislamu wengi tunaamini kuwa ni rekodi ya maneno, vitendo, na idhini ya kimya ya nabii wa Kiislamu Muhammad s.a.w kama inavyopitishwa kupitia misururu ya wasimulizi. Kwa maneno mengine, Hadith ni riwaya kuhusu yale aliyosema na...
  7. JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Kuna mdau juzi kati alifanya written interview utumishi kada ya Tax management officer ii mwajiri akiwa TRA, kwa maelezo yake anasema aliscore 45.5 kwenye huo mtihani, sasa anasema kuna mtu kamjulisha kuwa kuna habari inaendelea huko utumishi kuwa kuna uwezekano wa watu walioscore kuanzia 49...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa cde. Victoria Mwanziva ateta na wanafunzi kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii

    Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam) Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge. Kwa vigezo vifuatavyo. Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati na wadau mbalimbali. Itakumbukwa kuwa juzi akiwa Dodoma alifanya kikao kwa njia ya mtandao na...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Arsenal, Hector Bellerín kuhusu Vita ya Ukraine

    Jamaa ameongea ukweli.
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu haya maumivu ya kichwa

    Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu. Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu kuhama taasisi

    Habari ndugu wanajamiii forum, mimi ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nilipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa barua tangu nimetuma utumishi hadi sasa sijajibiwa na kila ukiuliza wanajibu inashughulikiwa, wadau...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Wakuu, Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake 1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama atoa somo kuntu kuhusu demokrasia ya Tanzania, awaonya vijana wa CHADEMA

    Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii. Dr Lwaitama amewataka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Iko hivi, Marekani kwa kutaka kuikomoa Urusi wakapata mawazo ya kugomea kununua mafuta Yao. Lakini kabla hawajafikia muafaka wa kugomea mafuta ya Urusi wakaona watafuta chanzo mbadala Cha mafuta. Hapo ndio wakapata wazo la kuiomba Venezuela kwa Raid Maduro waweze kuànza téna kuchukia mafuta huko...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…