kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Nikopeshe Microfinance

    Habari zenu ndugu zangu, Ukweli siko poa kiakili. Kutokana na hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita Nikopeshe Microfinance. Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu kutembelea Serengeti naomba msaada

    Habari za asubuhi? Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania. 1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani? Mikumi kuna ruksa hio unalipia...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  5. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo. Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria za msingi za adabu

    Sheria za msingi za adabu: 1. Ongea na watu kwa adabu, haswa ikiwa unaomba usaidizi. 2. Jitahidi sana usikatize watu wanapozungumza. 3. Kumbuka kusema asante ikiwa mtu amekuwa msaada kwako. 4. Ikiwa unahitaji kupita, sema samahani - nahitaji njia ,nafasi nyembamba!Usiseme Pisha nipite...
  7. JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  8. JamiiForums Tanzania Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

    ...
  9. JamiiForums Tanzania Vimetolewa visababu vingi kuhusu hili.Sasa msimamo wangu ni huu.

    Mara kadha imekuwa ikisemwa eti akifariki waziri au rais na akizikwa wanasema eti hayati fulani cjuw kisa wadhifa.Mtu akifa amekufa hakuna cheo wote ni maiti.Sasa natangaza rasmi nami nikifa niitwe hayati fulani c marehemu fulani.Over
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Ramaphosa ahojiwa na wabunge kuhusu wizi wa fedha kwenye shamba lake

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM Na OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
  12. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya kujifunza kuhusu tabia za binadamu

    1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu. 2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
  13. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu maisha ya ofisini

    Ni masomo gani makubwa ambayo umejifunza katika ulimwengu wa ofisini? 1. Jifunze kuvaa vizuri. Kumbuka jinsi unavyovaa ndivyo watu watakavyo kuchukulia. 2. Kamwe usiruhusu wenzako au bosi wako akuonee, jifunze kuongea na kusimama msingi wako na miguu yako. Usiwe goigoi wa ofisi. 3. Usiamini...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kujamba

    1. Unazalisha takriban mililita 500 hadi 1,500 za gesi kwa siku, na kuitoa kwa mara 10 hadi 20. 2. Unaweza kuiwasha gesi ya kijambo kwa moto. Ina gesi aina ya methane na hydrogen ambazo zinawaka kirahisi. 3. Kulingana na ripoti ya NBC News, kijambo kinaweza kusafiri kwa spidi ya takriban maili...
  15. JamiiForums Tanzania Tenda ya kununua vishkwambi ilishinda kampuni ipi, ushindani ulizingatiwa? Vipi kuhusu bei ya kishkwambi kimoja?

    Tunataka tuwekewe hadharani mchakato mzima wa upatikanaji wa vishkwambi vya sensa. Kuna jambo hapa nimehisi.
  16. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Mpaka sasa hakuna Sheria wala Utaratibu rasmi wa kulinda taarifa binafsi za Watanzania

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022. === Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

    Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe. Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
  18. JamiiForums Tanzania NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

    Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde. Hapo Jumatatu chombo kinachotajwa kuwa na nguvu kubwa kiitwacho Artemis kitafanya safari za majaribio kwenda karibu na...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ni mpenzi wa sayansi na teknolojia, karibu tujadiliane kidogo

    Ndugu, wana JamiiForums leo ningependa kuwasogezea habari hii kuhusu project inayoendelea ya tajiri namba moja duniani ambaye pia ndiye mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tesla, Mr. Elon Musk kuhusuiana na kuunganisha ubongo wa binadamu pamoja na kompyuta maarufu kama NEURALINK. Picha: Elon Musk...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Zijue Siri hizi kwa afya na uhai wako

    Hautojutia rafiki Kwa kuzijua Siri hizi Kwa afya Bora. Kwanini tuangamie Kwa kukosa maarifa? Ngoja nikushirikishe tone la upendo rafiki yangu unayesoma Uzi huu. Afya ni uhai, Kuna afya ya Mwili, ya Akili na afya ya Roho. Wengi wetu tunaijua Sana afya ya mwili ambayo tunaipata Kwa kula chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…