kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HS CODE

    JamiiForums Tanzania Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji. Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake. Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kozi fupi kuhusu Afya ya Ngozi (Skin Care)?

    Mimi ni mwanafunzi ninayesoma Utabibu, je, kuna short course ya Afya ya Ngozi (skin care) au mpaka niwe specialized doctor wa ngozi? Lengo langu kubwa ni kuwa mfanyabiashara mkubwa wa masuala ya vipodozi, sasa ili niwe na utaalamu wa kumshauri mtu kipodozi kipi atumie na kipi asitumie inabidi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

    Ukiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini. Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake. Tuanze na uislamu. 1...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tiba mbadala ya maumivu

    Ninaomba mwenye kuijua tiba mbadala ya maumivu ya mwili mzima anisaidie Tafadhali!
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dimpoz afunguka mazito kuhusu kumkana Baba yake

    Mwimbaji Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka mengi kuhusu baba yake mzazi anayefahamika kwa jina la Mzee Omary Nyembo baada ya baadhi ya mashabiki zake kumbebesha lawama kuwa hamjali mzee wake huyo. Hayo yaliibuka juzi baada ya mzee huyo kuhojiwa na Kituo cha Clouds akiwa Sumbawanga akieleza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba Yan nilichaguliwa chuo Cha Kampala dirisha la kwanza na mimi sijawahi kukuomba hiki chuo niliomba udsm ,ardh na mzumbe lakini sikuchaguliwa. Nilirudia dirisha la pili tena ndo nasubilia matokeo Sasa Leo napigiwa na chuo Cha Kampala...
  11. Hajto

    JamiiForums Tanzania kuhusu Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,kuna kitu sijakielewa naombeni ushauri wenu,leo nimeingia kwenye ajira portol,kuna nafasi niliomba nimekuta nimeitwa kwenye saili,tarehe ya maelezo kwa kada zote inasema usaili ni tarehe 19,ila chini kabisa kwenye majina wameandika usaili wa kwanza ni tarehe 14 sasa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Twitter yashutumiwa kupotosha kuhusu ulinzi wa taarifa za watumiaji

    Akitoa ushahidi wake mbele ya Bunge la Marekani, Mkuu wa zamani wa usalama wa mtandao huo, Peiter Zatko amesema data za watumiaji hazijalindwa vya kutosha na kwamba wafanyakazi takriban 4000 wanaweza kuzipata. Amezitaja taarifa za mtumiaji ambazo Twitter haijaziweka salama kuwa ni namba ya...
  13. Sprian joseph

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makala kuhusu Kilimo

    Kilimo nchini Tanzania huleta tija kwa wanajamii waliopo pembezoni na wao wakifaidika. Kilimo ni moja ya shughuli za kila siku kwenye maisha ya binadamu na hutegemeana na maeneo husika Kikilimo ili mkulima aweze kulima na kuvuna mazao yake huku akipata faida. Nchini kwetu Tanzania wakulima...
  14. Nguruka

    JamiiForums Tanzania AFYA: Wizara ya Afya inasemaje kuhusu utafiti huu?

    Kuna tafiti imechapishwa katika tovuti ya https://www.mdpi.com/2079-6382/11/9/1222?type=check_update&version=2 unaohusu upatikanaji wa mabaki ya dawa katika nyama za kuku tunazokula hususani wale wa broiler. Utafiti umefanyika Ilala na Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Utafiti huo umebeba...
  15. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wanaofahamu kuhusu interview kwenye tume ya ajira.

    Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
  17. Sprian joseph

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makala kuhusu Uwajibikaji

    Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati kama sijakosea kwa mujibu wa Vyanzo vya Taarifa vya Kiuchumi Uwajibikaji ndio nguzo pekee itayotupigisha hatua kwenda kwenye Maendeleo jumuishi. Uwajibikaji ni moja kati ya nyenzo kubwa kwenye kuleta Maendeleo katika Taifa lolote duniani,Serikali ya Tanzania...
  18. Ngareroo

    JamiiForums Tanzania Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

    Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha.. Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani (NBA) waga kuna mashindano yanaitwa NBA All-Stars ambayo hujumuisha East(Team Durant) na West(Team...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

    Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70! Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi! Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua! Naomba kama kuna...
Back
Top Bottom