Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,099
- 10,796
Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde.
Hapo Jumatatu chombo kinachotajwa kuwa na nguvu kubwa kiitwacho Artemis kitafanya safari za majaribio kwenda karibu na mwezi kuangalia usalama wa kupeleka tena watu siku zijazo. Mamilioni ya watu duniani akikwemo makamu wa raisi wa Marekani Kamala Harris watashuhudia tukio hilo kutokea kituo cha utafiti wa anga cha Kennedy jiijini Florida.
Kumbuka safari hii hatimae ilishindikana na kuahidiwa mwezi uliofuata halafu ikawa kimya.