kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji na maoni yake kuhusu kadhia ya Law School

    Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji: “Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.” Prof. Shivji anafahamika kwa misimamo yake. Anachozungumzia hapo ni umuhimu wa critical thinking...
  2. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

    Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu. Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi. Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina...
  4. JamiiForums Tanzania Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
  6. JamiiForums Tanzania Ninachokijua kuhusu Law School of Tanzania

    Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania. Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo. 1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni. 2. Somo la field lipo, ila marks...
  7. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu kauli ya 'Chinjachinja' ya kada wa CCM, RPC asema atauliza kama ilikuwa na mahusiano mauaji ili hatua zichukuliwe

    Kauli za makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Arusha na Jijini Dar es Salaam zinazotafsiriwa ni za kuchochea uhalifu dhidi ya wafuasi wa vyama vingine vya siasa, zimeibua mijadala katika mitandao ya kijamii. Moja ya kauli hizo ni ile inayodaiwa kutolewa na kijana wa Umoja wa Vijana...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  12. JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa haya maswali kuhusu Maiti

    Hope mmeamka salama. Naomba anayejua anisaidie na mimi kujua÷ 1. Kwanini mtu akifa anaoshwa? Anazikwa ardhini na kufukiwa sasa huo usafi anaofanyiwa unamsaidia nini as long as atachanganyikana na mavumbi soon? 2. Mtu akishazikwa baada ya miezi au miaka kadhaa ndugu huanza kwenda kufagia kaburi...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongea ukweli na kushauri vyema kuhusu viongozi kutambua mipaka yao kiuongozi

    Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Pili...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Housing and Infrastructure Planning ikoje?

    Naulizia kuhusu kozi ya bachelor of science in housing and infrastructure planning ndo ikoje yaan inahusu nini na je unawezq jiajiri, mwenye ujuzi msaada wakuu
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
  18. JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Wanajukwaa: Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi kuhusu hapo katikati

    Habari wadau. Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie, Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa! Niliitwa kituoni jana jioni kufika pale hapo katikati wakaniweka lokapu. Kweli wanawake wote wa sasa hivi ni wazuri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kawasahau wasichana wa Tanzania kuhusu lishe. Ni warembo ila ni wafupi sana

    Wasichana wa Tanzania wanaamza usista duu mapema sana.matokeo yake wamedumaa Wakiwa kwenye public ,wanajifanya kula kidogo,tena chipsi vipande vichache,kuku atamdonoa donoa,samaki atakula kama hataki hata kumgeuza hamgeuzi Ngoja afike nyumbani sasa,ni ugali wa kulumangia na kachumbari au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…